Waliobahatika Viwanja vya Geza Ulole

pole ndugu, Dar ya wenye nayo sasa. Wenye nacho wanaongezewa na sie masikin ndo kama hivi... Karibu Bukoba ni wewe tu kuchagua unataka kuishi wapi na pesa yako
 
Jamani hata mimi naomba ushauri wenu, ni hivi tulikuwa na shamba letu kibada kaka yetu ndiyo alikuwa analisimamia, selrikali ikataka kufidia yale mashamba yetu ili wapime viwanja, sisi hatukuwepo alikuwepo huyo kaka yetu ambaye alisisimamia hilo shamba wakati wa malipo. kichekesho tulilipwa sh laki tano mazao yalikuwa ni mengi sana jamani naona hata uchungu.

Basi akapewa kiwanja pale kibada lakini si shambani kwetu akaambiwa eti tulipe milioni moja na laki tano ndani ya siku 14. sasa swali langu kwa nini wasingelitupa kiwanja pale shambani kwetu? mimi sijui sana sheria za ardhi lakini naona kama ni maonevu haya.

Hatimaye tulishindwa kulipia kwa muda uliyopangwa. ila tulipotaka kulipia baada ya muda huo wakasema eti wameuza kwa hiyo tusubiri huko geza walituambia turudi tar 18 july. sasa nashangaa kumbe ata geza vimeshatoka nasi hatuna habari.

Jamani wanajamii naomba ushauri wenu tufanyeje ili tupate haki yetu? Maana tumeshalalamika muda mrefu tunazungushwa mara huku mara kule
 
pole sana mwanajamii. nchi hii kama huna jina kubwa mwishoni hupati kazi sehemu kubwa kubwa wala huduma kama hiyo. labda wawe wameshapata hadi wajukuu ndio wakufikirie wewe. usijali nenda wilaya nyingine unaweza pata.
 
Basi wewe mpe kiwanja huyo jamaa halafu uone kama atajenga hata banda la kuku. Nyie tunajua mlitumwa kuchafua majina ya watu na ndio maana nasema hii topic ni PUMBAAAA.
Kwani ukiuziwa ni lazima ujenge si uhuru wako unaweza kuuza pia,tunachotaka ni haki itendeke
 
Basi wewe mpe kiwanja huyo jamaa halafu uone kama atajenga hata banda la kuku. Nyie tunajua mlitumwa kuchafua majina ya watu na ndio maana nasema hii topic ni PUMBAAAA.
Kwani ukiuziwa ni lazima ujenge ni uhuru wako unaweza kuuza pia,tunachotaka ni haki itendeke
 
Khalfani Kikwete katoa wapi hela za kununua kiwanja? Jamani mbona watoto wa Mkpa au Nyerere hawakuwa hivi? ni watoto wa mwinyi na kiwete tu. Ritz, Radhia Sweety na Rejao wapenda udini. na Baba wivu nyani gabu oneni sana mambo yanayochafua nchi
 
Alaf hii Habari mbona nshaisikia kila mtu analalamika amekosa...ivo mko wengi

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Khalfani Kikwete katoa wapi hela za kununua kiwanja? Jamani mbona watoto wa Mkpa au Nyerere hawakuwa hivi? ni watoto wa mwinyi na kiwete tu. Ritz, Radhia Sweety na Rejao wapenda udini. na Baba wivu nyani gabu oneni sana mambo yanayochafua nchi

Fikirisha ubongo kidogo, ukinunua kiwanja ukaandikisha jina la mtoto kuna shida ? Ama umenunua Gari ukaandika jina La mama si sawa tu ?

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Jamani hata mimi naomba ushauri wenu, ni hivi tulikuwa na shamba letu kibada kaka yetu ndiyo alikuwa analisimamia, selrikali ikataka kufidia yale mashamba yetu ili wapime viwanja, sisi hatukuwepo alikuwepo huyo kaka yetu ambaye alisisimamia hilo shamba wakati wa malipo. kichekesho tulilipwa sh laki tano mazao yalikuwa ni mengi sana jamani naona hata uchungu.

Basi akapewa kiwanja pale kibada lakini si shambani kwetu akaambiwa eti tulipe milioni moja na laki tano ndani ya siku 14. sasa swali langu kwa nini wasingelitupa kiwanja pale shambani kwetu? mimi sijui sana sheria za ardhi lakini naona kama ni maonevu haya.

Hatimaye tulishindwa kulipia kwa muda uliyopangwa. ila tulipotaka kulipia baada ya muda huo wakasema eti wameuza kwa hiyo tusubiri huko geza walituambia turudi tar 18 july. sasa nashangaa kumbe ata geza vimeshatoka nasi hatuna habari.

Jamani wanajamii naomba ushauri wenu tufanyeje ili tupate haki yetu? Maana tumeshalalamika muda mrefu tunazungushwa mara huku mara kule
Ndugu yangu ni lazima ukumbuke ya kuwa tupo katika kipindi cha mpito ambapo tunatoka katika Ujamaa na kuingia katika ubepari hivyo mambao mengi yatakwenda si kama tulivyozoea na mojawapo ni kuwa pengo la aliyekuwa nacho ana asiyenacho litakuwa kubwa.Jambo ambalo serikali ingesaidia ni kuweka sera nzuri za kuhakikisha hata wadogo wanaambulia lakini pamoja na dalili za kuwepo sera hizo utekelezaji wake umemezwa na ufisadi.
Urusi ilkuwa nchi ya kijamaa kuliko sisi lakini katika miaka ya karibuni imeshatoa mabilionea,jiulize wamefanya biashara lini mpaka wakawa mabilionea?Huko ndiko tunakokwenda,kaza buti,
 
Ulitaka apimiwe Squater za Majohe?? Kama Rais hatoweza kumnunulia kiwanja mwanae nani ataweza, sio kila habari issue au ndo Stress za Ukame mifukoni!
 
Freedom and right in Tanzania is a personal effort you won't get it from the goverment. Work hard, hard, hard, get money, live your life, the government neither know your right no you!

Jamani hata mimi naomba ushauri wenu, ni hivi tulikuwa na shamba letu kibada kaka yetu ndiyo alikuwa analisimamia, selrikali ikataka kufidia yale mashamba yetu ili wapime viwanja, sisi hatukuwepo alikuwepo huyo kaka yetu ambaye alisisimamia hilo shamba wakati wa malipo. kichekesho tulilipwa sh laki tano mazao yalikuwa ni mengi sana jamani naona hata uchungu.

Basi akapewa kiwanja pale kibada lakini si shambani kwetu akaambiwa eti tulipe milioni moja na laki tano ndani ya siku 14. sasa swali langu kwa nini wasingelitupa kiwanja pale shambani kwetu? mimi sijui sana sheria za ardhi lakini naona kama ni maonevu haya.

Hatimaye tulishindwa kulipia kwa muda uliyopangwa. ila tulipotaka kulipia baada ya muda huo wakasema eti wameuza kwa hiyo tusubiri huko geza walituambia turudi tar 18 july. sasa nashangaa kumbe ata geza vimeshatoka nasi hatuna habari.

Jamani wanajamii naomba ushauri wenu tufanyeje ili tupate haki yetu? Maana tumeshalalamika muda mrefu tunazungushwa mara huku mara kule
 
Beneficiaries wa corrupt system utawajua tu. Ngoja kesho yenu iwe leo yetu, cant wait to see your long faces.

Mtoa mada, pole mwaya. Mwenzio nilistuliwa kuwa surname yangu haikidhi, kahela ka kuchukulia fomu nikala samaki.

Hivi unaweza ukaamini Huyu Khalfan kabahatika awamu zote mbili tena viwanja vikubwa? Huyu dogo ana bahati sana!!
 
Habari za asubuhi wana Jamvi, mimi ni mmoja kati ya watu walio omba kuuziwa viwanja vya mradi wa Gezaulole Kigamboni, nilichukua form nane moja ya kwangu nyingine ya mke wangu na hizi zingine za wadogo wangu ambao ni watu wazima na hawana makazi, niliamini tutapata japo viwanja viwili vitatu. Lakini cha ajabu orodha imebandikwa rasmi kinyemela pale Manispaa ya Temeke ikionyesha watu wanao stahili kuuziwa hivyo viwanja, sisi hatuja bahatika hata kiwanja kimoja. Kwa haraka haraka nimegundua ili kupata hivyo viwanja inabidi uwe na bahati sana au uwe na jina kubwa kama ambavyo yanasomeka pale Temeke. Baadhi ya watu waliobahatika kupata hivyo viwanja ni.

1.Khalfani Kikwete amepata haki ya kuuziwa kiwanja cha ujazo wa chini(Kikubwa)
2.H. Ghasia amepata haki ya kuuziwa kiwanja cha ujazo wa chini(Kikubwa)
3.M. Mwandosya amepata haki ya kuuziwa kiwanja ila hawaja-specify aina ya kiwanja anachotaka.

Hawa ni watu wachache tu kati ya orodha ndefu ambayo kutokana na moyo wangu kuumizwa sana sikuendelea kuisoma.
polee...mi ninauza kama dalali wa ofisa'z wa tmlk,nitafute nikuuzie kimoja!
Inaniuma sana kati ya form nane hakuna mwenye sifa za kuuziwa kiwanja na serikali? kwasababu tuliambiwa kiwanja kimoja tutashindanishwa watu watatu. Na kama ushindani ulikuwa mkubwa inakuwaje mtu amepata kuuziwa kiwanja ambacho bado specifications zake zinafanyiwa kazi?

Source: Ubao wa matangazo manispaa ya Temeke

polee...mi ninauza kama dalali wa viwanja hivyo,vimepimwa vina hati na kila kitu,nitafute nikuuzie kimoja!
 
Back
Top Bottom