Waliobahatika Viwanja vya Geza Ulole | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waliobahatika Viwanja vya Geza Ulole

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mvaa Tai, Jul 12, 2011.

 1. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #1
  Jul 12, 2011
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Habari za asubuhi wana Jamvi, mimi ni mmoja kati ya watu walio omba kuuziwa viwanja vya mradi wa Gezaulole Kigamboni, nilichukua form nane moja ya kwangu nyingine ya mke wangu na hizi zingine za wadogo wangu ambao ni watu wazima na hawana makazi, niliamini tutapata japo viwanja viwili vitatu. Lakini cha ajabu orodha imebandikwa rasmi kinyemela pale Manispaa ya Temeke ikionyesha watu wanao stahili kuuziwa hivyo viwanja, sisi hatuja bahatika hata kiwanja kimoja. Kwa haraka haraka nimegundua ili kupata hivyo viwanja inabidi uwe na bahati sana au uwe na jina kubwa kama ambavyo yanasomeka pale Temeke. Baadhi ya watu waliobahatika kupata hivyo viwanja ni.

  1.Khalfani Kikwete amepata haki ya kuuziwa kiwanja cha ujazo wa chini(Kikubwa)
  2.H. Ghasia amepata haki ya kuuziwa kiwanja cha ujazo wa chini(Kikubwa)
  3.M. Mwandosya amepata haki ya kuuziwa kiwanja ila hawaja-specify aina ya kiwanja anachotaka.

  Hawa ni watu wachache tu kati ya orodha ndefu ambayo kutokana na moyo wangu kuumizwa sana sikuendelea kuisoma.

  Inaniuma sana kati ya form nane hakuna mwenye sifa za kuuziwa kiwanja na serikali? kwasababu tuliambiwa kiwanja kimoja tutashindanishwa watu watatu. Na kama ushindani ulikuwa mkubwa inakuwaje mtu amepata kuuziwa kiwanja ambacho bado specifications zake zinafanyiwa kazi?

  Source: Ubao wa matangazo manispaa ya Temeke
   
 2. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #2
  Jul 12, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Pole ndio kwetu kulivyo mwenye kisu kikali ndio anakula nyama,lakini usife moyo kua na subra ikosiku utapata.
   
 3. MkimbizwaMbio

  MkimbizwaMbio JF-Expert Member

  #3
  Jul 12, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Inaumiza sana. Tuungane pamoja kuwaondoa wezi hawa. Tafuta pesa nenda Goba Utapata mkuu.
   
 4. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #4
  Jul 12, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Mkuu sheria duniani haki mbinguni!!!
   
 5. O

  Omr JF-Expert Member

  #5
  Jul 12, 2011
  Joined: Nov 18, 2008
  Messages: 1,160
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Pumbaaaaa
   
 6. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #6
  Jul 12, 2011
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Inawezekana kabisa, mkuu kwasababu kila mtu ana uwezo tofauti wa kufikiri
   
 7. Keynes

  Keynes JF-Expert Member

  #7
  Jul 12, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 499
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  pole kaka tanzania bado tupo kwenye mbio za kuwania uhuru ...hope one day YES
   
 8. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #8
  Jul 12, 2011
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,530
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  Haya yalitokea Arusha Vijijini mwaka jana mara baada ya kutoa kura zetu. Kwa kifupi ukiacha hayo majina makubwa, wengine watakuwa ni watu wanaofahamiana na watendaji au majina ya madalali. Ukitaka watafute hao madalali watakupa kiwanja
   
 9. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #9
  Jul 12, 2011
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Kwa vile Tanzania inaongozwa na Utawala wa Sheria, basi nyie mliokosa viwanja mna haki kamili ya kukata Ruffaaa na kujua ni kigezo gani kilitumika katika kugawa viwanja hivyo.

  Na msiporidhika na hapo mna haki kamili ya kwenda mahakamani na kusimamisha zoezi lenyewe mpaka suala lenu litakapopatiwa ufumbuzi.

  Pole sana ila tumia haki yako kisheria na kikatiba
   
 10. Mlachake

  Mlachake JF-Expert Member

  #10
  Jul 12, 2011
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 2,923
  Likes Received: 623
  Trophy Points: 280
  Hivi wewe ni kichaa?

  Even a fool see he/she is wise in his/her face.

  mimi sielewi neno pumba linatoka wapi hasa, Au katika mada hii pumba ni nini?

  Jaribu kuipa heshima Computer yako! Onyesha angalau Elimu yako ina hadhi ya kujua kuitumia computer yako.

  This is so emberrassing for a greater Thinker!!

  Kwahiyo mtu anapolalamika kwa udhibitisho kuwa hawa viongozi wetu wanauziana ardhi wao kwa wao ni pumba kwako.

  Hatukatai kuwa wao ni raia kama sisi na wana haki ya kuuziwa kama wananchi wengine lakini kuna jinsi ya kuangalia mambo kwa jicho la tatu.

  Ndio maana tunaita huu ni uwanja wa great Thinkers, hata kama wewe sio great thinker, jaribu hata kuigiza kama great thinker, Kama hawezi hata hilo hapa sio uwanja wako.
   
 11. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #11
  Jul 12, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,134
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  Hata mimi yalinikuta mwaka jana hapa kwetu Arusha kuhusiana na vile viwanja vya Burka, majina ya mwanzo yaliopewa kipaumbele japokua na mimi pia nilichukua form kama 5 lakini jina la mwanzo lilikua ni la Riziwani Kikwete! Kweli kifo cha wengi ni harusi!
   
 12. sulphadoxine

  sulphadoxine JF-Expert Member

  #12
  Jul 12, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,264
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Watu kama hao sio wakuwajibu nikuwaacha tu.
   
 13. sulphadoxine

  sulphadoxine JF-Expert Member

  #13
  Jul 12, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,264
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Pole sana mkuu hii ndio Tanzania nchi yenye amani na tunakaribia kusherekea miaka 50 ya uhuru.
   
 14. O

  Omr JF-Expert Member

  #14
  Jul 12, 2011
  Joined: Nov 18, 2008
  Messages: 1,160
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Na wewe ndio umetumia akili hapo.......acheni ushabiki wa kijinga...hakuna topic zingine zaidi ya kusema watu bila mpango, ooo watoto wa wakubwa mara wanaccm, yote hii ni wivu....
   
 15. sulphadoxine

  sulphadoxine JF-Expert Member

  #15
  Jul 12, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,264
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Siku nyingine tumia kichwa kufikiri,badala ya sehumu ya kutolea ushuzi
  Pumba inatoka wapi hapa?
  sio lazima uchangie kila tridi.
  watu kama nyie mkiona kichaka tu kosa..
   
 16. L

  LAT JF-Expert Member

  #16
  Jul 12, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  mkuu Ezan .... please usikate tamaa

  mapori yapo mengi sana nchi hii ..... take your time and get a free land for yourself for the future as your asset

  otherwise these hooligans will pump high your blood pressure

  relax
   
 17. muwaha

  muwaha JF-Expert Member

  #17
  Jul 12, 2011
  Joined: May 13, 2009
  Messages: 743
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Poleeeeeeeeeee...njoo huku singida kuna mapori makubwa
   
 18. muwaha

  muwaha JF-Expert Member

  #18
  Jul 12, 2011
  Joined: May 13, 2009
  Messages: 743
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Umetumwa wewe si bure!
   
 19. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #19
  Jul 12, 2011
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,003
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  dah! mkuu pole sana
   
 20. Tumaini Jipya

  Tumaini Jipya JF-Expert Member

  #20
  Jul 12, 2011
  Joined: Jan 25, 2011
  Messages: 380
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Nimeipenda hii,Hakika!!
   
Loading...