Kongosho
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 35,987
- 24,226
Tangu uwe Mkuu wa Mkoa umeadimika jamani
Ni nini? Mkoa wangu haujavuna mahindi?
Ni nini? Mkoa wangu haujavuna mahindi?
Mie Nafurahia uwepo wa wote JF na nimejifunza mengi kupitia kila mmoja wetu....
Kila mmoja ana hekima ,mapungufu na busara zake..
Pamoja sana wakuu ...