Leak
Platinum Member
- Feb 22, 2012
- 52,939
- 43,569
Thanx for appreciation ladyfurahia
Jamani hata mie wapo walionitoa sehemu moja na kwenda sehemu ingine kwa ushauri wao wa kimisingi kabisa na wameweza kunifanya nionekana mtu mbele za watu, vilevile wamenishauri sana kuhusu kitabu changu ambacho kitatoka hivi karibuni kinashusu Jicho nilivyoomba ushauri kwao waliweza kunishauri namna ya kufanya na nikapata mwangaza katika macho yangu si weingine bali ni Maxence melo, Mike Mickee, Rutta, MAMMAMIA, Ana thomas, Mute, na wengineo wengi asante kwa ushauri wenu na support yenu mmenitoa mbali