Mamndenyi
Platinum Member
- Apr 11, 2011
- 44,606
- 64,451
Last edited by a moderator:
theboss, @RR, Mtambuzi, AshaDii, Kongosho, Arushaone, Bishanga, Boflo, mia, @Ruhazwe (my son), Asprin, Erickb52, Katavi, zomba, charminglady, @nugu mamaya, Mwanakijiji, Ruttashobolwa, BadiliTabia, gfsonwin, @Mkiruwa, Mkuu rombo, Baba V, Dena Amsi (Mjukuu), @Saint Ivuga, @Superman (Asante kwa 'like'), Cantalisia, Pdidy na wengine wengi nawapenda sana.
Nimeandika hivi ili wengi wajue kuwa jf siyo mahali pa kupoteza muda bali ni zaidi ya darasa la mafanikio.
Ngoja nikaitafute hii sred, imenitamanisha kuona walikukimbizaje na mapanga
Kwanza kabisa mnisamehe kwa list ndeefu, for kwa kweli nawasiliana na wengi na wengi wanigusa.
SnowBall (ujue nilikuwa nikikuchanganya sana na snowhite) Kama kawa siwezagi kuandika post fupi… Lol! Wanaonifaham nadhani wameshazoea hali hii… Hii imekuja wakati muafaka, tukiwa tunafunga mwaka. Much appreciation to you.
Kwa wale woote walio ni acknowledge na wanao ni kubali bila hata wao kuweza niorodhesha humu… Nasema "I am really humbled" na Pamoja sana with Love.
Inaweza ikawa kama mzaha, ila kwangu ukweli ni kuwa nina members zaidi ya 100 ambao na acknowledge kunigusa kwa namna moja ama nyingine. Nikiri kuwa Kuna wale ambao wamenibadilisha maisha yangu directly or indirectly. Ni wazi kuwa watu watofautiana katika ‘impact' na intensity ya ubadilisho huo. Ila ukweli unabadiki kuwa ni members wengi mno ambao wananigusa JF.
Na naamini bado kuna members nimesahau kikubwa niya yangu ya acknowledgement in heartfelt. Na namshukuru Mungu kwa kunijaalia kumbu kumbu, kila mmoja ya nilie mtaja naweza kabisa kumbuka ni kwa namna gani alini/anani impress na ni lini ilikuwa mara ya kwanza na kwa nini namkubali; from the simple reason kuwa na appreciate uwepo wa wote wale ambao twakutana hapa jamvini. Na sababu jamvi ni kubwa… Hata list ni kubwa pia.
Asante kwa kututia moyo ambao bado tunahanja hanja na maisha na ambao labda tunashindwa kutambua fursa zinazoweza patikana jf
Wengi watakuja na confession kama hizi labda
Asante kwa kutambua uwepo wangu
Asante sana kwa kutambua uwepo wangu Tata
Kuonyesha kuwa natambua uwepo wako, nimeandaa kirunguri na kichuri leo, na baada ya kula tutacheza ritungu kidogo
Tohanchane Mwita
Asante kwa kututia moyo ambao bado tunahanja hanja na maisha na ambao labda tunashindwa kutambua fursa zinazoweza patikana jf
Wengi watakuja na confession kama hizi labda
Asante kwa kutambua uwepo wangu
mkuu naomba nikiri kuwa wewe ni kichwa,I'm humbled (source AshaDii) for your appreciation.
Kwakweli sikuwa natambua kwamba ninaweza kuwa na mchango mkubwa katika maisha yako, ubarikiwe sana mamito.
Kusema kweli hapa JF watu ni wengi sana waliochangia mimi kuwa hapa nilipo leo na kuwa hivi nilivyo leo kwa namna moja ama nyingine.
Kwakuwa siwezi kuwataja wote lakini kwakweli niwataje wachache kama Mtambuzi, Zion Daughter, WiseLady, Asprin & Filipo (hawa tumetoka nao mbali sana!!), Preta, PakaJimmy, zumbemkuu, Mungi, LiverpoolFC, Mzee wa Rula na Dark City.
Lakini pia kuna watu ambao sijawahi kuonana nao lakini nimekuwa nikiwasiliana nao mara kwa mara aidha kwa simu ama kwa PM hapa JF, nao pia wamechangia sana kunifikisha hapa nilipo kwani najifunza vitu vingi toka kwao; Nguruvi3, Mag3, Mkandara, Mchambuzi, Mtumishi Wetu, Mohamedi Mtoi, Thanda, AshaDii, Matola, Molemo, Michelle na Riwa.
Na mwisho kabisa ningeomba niwatambue marafiki wanaonifanya nilipende jukwaa la MMU na kulitembelea mara kwa mara tofuti na siku za mwanzo; Madame B, Kongosho, Ciello, gfsonwin, Kaizer, Kabakabana, The Finest, The Boss, lara 1, cacico, mwaJ, mdida, nivea, platozoom, snowhite, SnowBall, Boflo, King'asti na MziziMkavu.
Heeee! we ndugu Mwita Maranya sijakusoma siku nyingi! By the way, hivi ule uchumba wetu kupitia kwa babu Asprin uliishia wapi? Maana sielewi kama babu alishanioza kwa mkurya au la!Lol!
thank u so muchI'm humbled (source AshaDii) for your appreciation.
Kwakweli sikuwa natambua kwamba ninaweza kuwa na mchango mkubwa katika maisha yako, ubarikiwe sana mamito.
Kusema kweli hapa JF watu ni wengi sana waliochangia mimi kuwa hapa nilipo leo na kuwa hivi nilivyo leo kwa namna moja ama nyingine.
Kwakuwa siwezi kuwataja wote lakini kwakweli niwataje wachache kama Mtambuzi, Zion Daughter, WiseLady, Asprin & Filipo (hawa tumetoka nao mbali sana!!), Preta, PakaJimmy, zumbemkuu, Mungi, LiverpoolFC, Mzee wa Rula, Dena Amsi, Maxence Melo na Dark City.
Lakini pia kuna watu ambao sijawahi kuonana nao lakini nimekuwa nikiwasiliana nao mara kwa mara aidha kwa simu ama kwa PM hapa JF, nao pia wamechangia sana kunifikisha hapa nilipo kwani najifunza vitu vingi toka kwao; Nguruvi3, Mag3, Mkandara, Mchambuzi, Mtumishi Wetu, Mohamedi Mtoi, Thanda, AshaDii, Matola, Molemo, Michelle, carmel na Riwa.
Na mwisho kabisa ningeomba niwatambue marafiki wanaonifanya nilipende jukwaa la MMU na kulitembelea mara kwa mara tofuti na siku za mwanzo; Madame B, Kongosho, Ciello, gfsonwin, Kaizer, Kabakabana, The Finest, The Boss, lara 1, cacico, mwaJ, mdida, nivea, platozoom, snowhite, SnowBall, Boflo, King'asti, MwanajamiiOne na MziziMkavu.
Asante sana, kwa kutambua uwepo wangu
Nautambua uwepo wako sana
......Na mwisho kabisa ningeomba niwatambue marafiki wanaonifanya nilipende jukwaa la MMU na kulitembelea mara kwa mara tofuti na siku za mwanzo; Madame B, Kongosho, Ciello, gfsonwin, Kaizer, Kabakabana, The Finest, The Boss, lara 1, cacico, mwaJ, mdida, nivea, platozoom, snowhite, SnowBall, Boflo, King'asti, MwanajamiiOne na MziziMkavu.
mkuu naomba nikiri kuwa wewe ni kichwa,
mkuu umebarikiwa.. nilikuwa napigwa ban mara kwa mara nikiona comments za hawa jamaa zangu upande wa pili kwa mganga wa kienyeji, ila mmenibadilisha tabia yangu hapa JF, nafuata mwenendo wenu wa kujibu hoja thou siwezi kuwafikia. be blessed sana kamanda.
(mambo yamekuwa mengi mwisho huu wa mwaka but hope tutakutana w/end moja kabla mwezi huu haujaisha.)
Oghambele bhuya mamokolo Kongosho. Nenkohanchere ghoko!!
Hivi tuna nini mimi na wewe? Pamoja na kukubadilishia maisha yako mpaka sasa sijaona ukinimenshen.
Ukifanya masihara ntakurudishia maisha yako ya zamani!
Mi nakasirikaga sana.
Huyo asikutishe, nina swichi yake mie
Nazima na kuwasha saa yeyote, na very soon utasikia nimemgandishia Tandale
Mkuu Mwita Maranya thanks sana mkuu...sikujua kama ninaweza pia kuku-inspire..si unajua nyie wanasiasa bana....