Waliobadilisha Maisha yangu....

Waliobadilisha Maisha yangu....

Ungekuwa Mke wangu leo ningekulima Talaka Rejea maana kama unajifunza kutoka kwa lara 1 utakuwa ushakuwa Nunda

Mwache mwenzio ajifunze KWA RAHAAA! Mimi nafundisha ELIMU DUNIA!!!!!!! Hiyo ya madarasani na vitabuni namuachia The Boss. Akifuzu mafunzo yangu hatoshindwa KUSURVIVE POPOTE PALE!!!!!!!!! Haya ngoja niendelee kutengeneza NOTSI Ticha wa ukwee mwenyewe.
 
Last edited by a moderator:

Yaani Wewe na mtu anaitwa Madame B hata nikipewa bure sichukui walah ya nini kufa kwa Mawazo
 
Last edited by a moderator:
SnowBall, Kwangu mimi ni wengi sana wamenisaidia, ila nasita kuwataja wachache ili nisiwakatishe tamaa wengine waliojikunja na kuchangia mada zangu mbali mbali za kuomba ushauri kwa moyo mmoja!
Wapo walionikera pia, LOL!
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
HorsePower ukiwataja hao sita sio kwamba wengine si wa muhimu..ila tu kila kitu kina the very most.....

Back
Top Bottom