Walimu wanafedhehesha sana, wananuka ufukara

Walimu wanafedhehesha sana, wananuka ufukara

Ni ajira ya laana nivile tu njaa zinawasumbua ila huwezi kuwa na akili timamu ukachagua kuwa mwalimu
ila n tz tu nchi zingne kama jirani kenya wana maendeleo sana wengine ni wafanya biashara, wakulima wakubwa tu, na kujenga mijumba yaan tz ualimu n nuksi bin taabash
 
Umenikumbusha shule ya msingi tulikua na mwalimu mmoja wa stadi za kazi, alikua ana kichaaaa.. alikua anatembea na genge zima. alikua anabeba msafara wa wanafunzi wambebee mazaga yake. Anauza matunda aina zote mpaka mapapai na parachichi. anapita darasa kwa darasa..

Yule mmaza alikua na njaa.. Akifika anafanya kwanza biashara anaangalia mmenunua kias gani, mkinunua kidogo anaanza kuwapiga kwa makosa ya kipumbavuuuu utaskia anakagua daftari za hesabu au za kiswahili.. Yaani masomo hayamuhusu anawazibua. Pona pona yako nunua chungwa au ubuyu, au crips za mihogo.

Na akiona kuna bidhaa imebaki ambayo haina wateja basi hiyo ataiuza kibabe. anakuja na fimbo na fuko lake lake, anakupa option mbili tu mezani, chagua kununua mzgo au kupigwa.

Katutesa sana mbwa yule, ateseke huko kuzimu.
Hahaa umenikumbusha mbali kuna ticha alikuwa anatupa big g bazoka tunamuuzia maisha yanasonga hata ukikosea anakulinda kwa ghalama yoyote!
 
Kipindi nafanya kazi ya kuuza mangi shop, Kuna watu ni mc, madaktari, wahasibu wengine wafanyabiashara, mama ntilie wanakopa mpk hata laki

sasa hao waalimu kwamba pekee ndo wana maisha magumu ??

Acha kuongea kwa hisia
 
Hawa walimu Kuna mda huwa nawaza ni binadamu wenzetu kweli? Kuna vitu wanavifanya utafikiri hawajasoma vile. Wanakopa too much mpaka wanaacha kadi kwenye vitaasisi vya mikopo kama bayport na plutnum credit.

Nipo apa duka moja la mangi ananiambia walimu wote wa shule jirani huwa wanaenda kukopa unga, sukari hadi kiwembe cha Mia, jambo Zito mpaka mkuu wa shule kaacha kadi kwa madeni madogo madogo kwahiyo mangi huwa anatoa pesa yake itakayobaki anampa ticha

Jambo bovu na lakijinga hawa watu Kila kazi wanataka mpaka za sensa na uchaguzi labda kwasababu mishahara yao midogo ila yaliyotokea oktoba 29 main source ni walimu.. Vituo vyote vya kupigia kura wasimamizi wakuu walikuwa ni walimu nandowalishiriki kutiki makura feki. Hawa watu hawa dahhh!!! View attachment 3531357
Huna unalojua kuhusu walimu kuhusu mishahara sio kweli kuwa wanna mishahara midogo labda ungesema posho wizi wa fedha za umma hawana, kuhusu kukopa wanao kopa ni wengi TU sisi tunaokopesha ndo tinajua sema TU Kwa sababu walimu ni wengi LAKINI wote , manesi askali maafisa maendeleo nk wanakopa acha dharau
 
Shule yetu ilikua barabarani. Akawa akishuka kwenye daladala tunamkimbia, maana alikua anashuka na mizigo mingi (kipindi hiko usafiri ulikua vipanya). mzigo ulikua ni mwingi kiasi kwamba ilibidi ukae kwenye buti. alihitaji takliban wanafunzi watano kubeba mizigo yote kwa mara moja.

Na hata kama wakitimia hao watano wakamsaidia, nyie mlobaki hapo anakuja kuwaletea mnunue mapera(bila kujali ni asubuhi saa moja), mkikataa kununua au mkiwa hamna hela basi mtamfata ofisini kwa kutembelea magoti. anaenda kuwapiga akidai mnakiburi hamna heshima mmekataa kumpokea mwalimu mizigo.
Hawana akili ndomana nasema Kila siku
 
Kipindi nafanya kazi ya kuuza mangi shop, Kuna watu ni mc, madaktari, wahasibu wengine wafanyabiashara, mama ntilie wanakopa mpk hata laki

sasa hao waalimu kwamba pekee ndo wana maisha magumu ??

Acha kuongea kwa hisia
Walimu wamezidi wanakopa mpaka sheva yakunyolea mavooz
 
Huna unalojua kuhusu walimu kuhusu mishahara sio kweli kuwa wanna mishahara midogo labda ungesema posho wizi wa fedha za umma hawana, kuhusu kukopa wanao kopa ni wengi TU sisi tunaokopesha ndo tinajua sema TU Kwa sababu walimu ni wengi LAKINI wote , manesi askali maafisa maendeleo nk wanakopa acha dharau
Sio kweli walimu wamezidi
 
ila n tz tu nchi zingne kama jirani kenya wana maendeleo sana wengine ni wafanya biashara, wakulima wakubwa tu, na kujenga mijumba yaan tz ualimu n nuksi bin taabash
Daah 😂😂😂
 
Pamoja na yote mtakayowasema Walimu,yawe ya kweli au sio ya kweli,

But ukweli utabaki kua ukweli,wengi wetu humu,tumejua kuandika na kusoma kutokana na mafunzo kutoka kwa hao walimu,

Ni vizuri zaidi tukatumia ujuzi waliotupa kuwapigania ili nao wawe na maisha na kuweza kumudu gaharama za kila siku,

Respect to all Teachers.
 
Back
Top Bottom