Walimu wanafedhehesha sana, wananuka ufukara

Walimu wanafedhehesha sana, wananuka ufukara

Walimu ni watoto wa maskini wenzetu...hakunaga mtoto wa waziri au Mbunge au Naibu waziri ni mwalimu...most of them ni watoto wa wakulima na wafugaji...na miongoni mwao siyo wanafanya hiyo kazi kwa kupenda bari wanafanya ili Elimu yao isipotee gizani...walimu wanaonufaika na hiyo Taaluma ni wachache sana na wengi wao wamijini.... pia waliobahatika kuajiriwa Shule za Private angalau wao wanamaposho ya kumwaga na mishahara minono na ndiyo Shule zinamilikiwa na Vigogo

Note; kwa stress walizonazo walimu ndiyo maana watoto wenu wakiwaletea za kuleta wanawapiga mpaka wanawauwa...ndg zangu tuwape ushirikiano walimu wetu ili waendelee kulikomboa Taifa kutoka kwenye ujinga na Umaskini.
 
Hawa walimu Kuna mda huwa nawaza ni binadamu wenzetu kweli? Kuna vitu wanavifanya utafikiri hawajasoma vile. Wanakopa too much mpaka wanaacha kadi kwenye vitaasisi vya mikopo kama bayport na plutnum credit.

Nipo apa duka moja la mangi ananiambia walimu wote wa shule jirani huwa wanaenda kukopa unga, sukari hadi kiwembe cha Mia, jambo Zito mpaka mkuu wa shule kaacha kadi kwa madeni madogo madogo kwahiyo mangi huwa anatoa pesa yake itakayobaki anampa ticha

Jambo bovu na lakijinga hawa watu Kila kazi wanataka mpaka za sensa na uchaguzi labda kwasababu mishahara yao midogo ila yaliyotokea oktoba 29 main source ni walimu.. Vituo vyote vya kupigia kura wasimamizi wakuu walikuwa ni walimu nandowalishiriki kutiki makura feki. Hawa watu hawa dahhh!!! View attachment 3531357
Umenikumbusha shule ya msingi tulikua na mwalimu mmoja wa stadi za kazi, alikua ana kichaaaa.. alikua anatembea na genge zima. alikua anabeba msafara wa wanafunzi wambebee mazaga yake. Anauza matunda aina zote mpaka mapapai na parachichi. anapita darasa kwa darasa..

Yule mmaza alikua na njaa.. Akifika anafanya kwanza biashara anaangalia mmenunua kias gani, mkinunua kidogo anaanza kuwapiga kwa makosa ya kipumbavuuuu utaskia anakagua daftari za hesabu au za kiswahili.. Yaani masomo hayamuhusu anawazibua. Pona pona yako nunua chungwa au ubuyu, au crips za mihogo.

Na akiona kuna bidhaa imebaki ambayo haina wateja basi hiyo ataiuza kibabe. anakuja na fimbo na fuko lake lake, anakupa option mbili tu mezani, chagua kununua mzgo au kupigwa.

Katutesa sana mbwa yule, ateseke huko kuzimu.
 
Kuna ndugu yangu mmoja aliajiriwa mwaka 2004 na sasa hivi n mwalimu mkuu lakini ndugu zanguni hajawai hata kujenga hata banda la kufugia kuku ni shda yan n mtu wa kulia shida kila mda hadi jina lake ni teacher brop.. Na wote tunamwita ticha brop na anaitika kweli kwan hajui tulimaanisha nin {problems tuliibadilisha kuwa broplems ili asielewe}
 
Aisee
 
Ni ajira ya laana nivile tu njaa zinawasumbua ila huwezi kuwa na akili timamu ukachagua kuwa mwalimu
 
Shule yetu ilikua barabarani. Akawa akishuka kwenye daladala tunamkimbia, maana alikua anashuka na mizigo mingi (kipindi hiko usafiri ulikua vipanya). mzigo ulikua ni mwingi kiasi kwamba ilibidi ukae kwenye buti. alihitaji takliban wanafunzi watano kubeba mizigo yote kwa mara moja.

Na hata kama wakitimia hao watano wakamsaidia, nyie mlobaki hapo anakuja kuwaletea mnunue mapera(bila kujali ni asubuhi saa moja), mkikataa kununua au mkiwa hamna hela basi mtamfata ofisini kwa kutembelea magoti. anaenda kuwapiga akidai mnakiburi hamna heshima mmekataa kumpokea mwalimu mizigo.
 
Back
Top Bottom