Mjusi Sharobalo
JF-Expert Member
- Sep 4, 2025
- 8,265
- 14,522
Wanasikitisha sana, dili walilolitumainia limebaki kuwa dilisha.Saizi wanatembea wanaongea peke yao barabarani wamebaki kunywa visungura
Wanasikitisha sana, dili walilolitumainia limebaki kuwa dilisha.Saizi wanatembea wanaongea peke yao barabarani wamebaki kunywa visungura
Yaani mimi nijitoe kulisaidia jitu lililokua linaninyuka kila siku viboko vya makalio kisa hesabu hazipandi kichwani si nitakuwa tahira!Pamoja na yote mtakayowasema Walimu,yawe ya kweli au sio ya kweli,
But ukweli utabaki kua ukweli,wengi wetu humu,tumejua kuandika na kusoma kutokana na mafunzo kutoka kwa hao walimu,
Ni vizuri zaidi tukatumia ujuzi waliotupa kuwapigania ili nao wawe na maisha na kuweza kumudu gaharama za kila siku,
Respect to all Teachers.
Wapo wengine nawajua wanacheza bonanza yale ya wachinaSaizi wanatembea wanaongea peke yao barabarani wamebaki kunywa visungura
Hahaha Walimu wengi wanapenda starehe wakati kipato hakiruhusuSi mlisema Mpwayungu Village amefariki? na Tanzia iliwekwa humu?
Haaa haa haya bankerNiwie radhi mimi sio mwalimu
Yote ayo yashasepa na umeme 😂😂😂Nyie walimu wa shule ya msingi SIMA BARIADI SIMIYU enzi hzo nawapa hi sn...
mwl maligende
mwl alexander
mwl bomani
mwl mtebe
mwl manyiri
mwl stela
mwl mkuu rumala
mwl mkuchu
mwl kidai ( R.I.P )
mwl malongo
mwl mkuu sunday ( R.I.P )
mwl nyarufunjo
HAWA NAWAKUMBUKA SJUI KAMA WOTE BADO WAPO HAI maana enzi hzo ukimwi ulikuwa machachari sn na hakukuwa na vidonge walimu wengi walipgwa na umeme..
Yaani mimi nijitoe kulisaidia jitu lililokua linaninyuka kila siku viboko vya makalio kisa hesabu hazipandi kichwani si nitakuwa tahira!
Hawa watu dah 😂Wapo wengine nawajua wanacheza bonanza yale ya wachina
Wakiliwa wanaacha simu bond
Ingawa sio wote ila walimu wana shida!
Tulia nikusage lofa weweWewe ushawahi kubakwa na mwalimu ndo maana una makasiriko nao sana😄😄
Unaweza kuwa na Elimu ila huna akili, mfano walimu na palamagamba kabudiPamoja na yote mtakayowasema Walimu,yawe ya kweli au sio ya kweli,
But ukweli utabaki kua ukweli,wengi wetu humu,tumejua kuandika na kusoma kutokana na mafunzo kutoka kwa hao walimu,
Ni vizuri zaidi tukatumia ujuzi waliotupa kuwapigania ili nao wawe na maisha na kuweza kumudu gaharama za kila siku,
Respect to all Teachers.
Hawa wanaokashifu walimu ni watoto. Hawajui maisha. Maendeleo ni juhudi binafsi. Wapo walimu hadi wamekuwa Rais wa nchi hii. Kuna mawaziri,makatibu wakuu walikuwa walimu.Pamoja na yote mtakayowasema Walimu,yawe ya kweli au sio ya kweli,
But ukweli utabaki kua ukweli,wengi wetu humu,tumejua kuandika na kusoma kutokana na mafunzo kutoka kwa hao walimu,
Ni vizuri zaidi tukatumia ujuzi waliotupa kuwapigania ili nao wawe na maisha na kuweza kumudu gaharama za kila siku,
Respect to all Teachers.
Ongezea pia ni kada yenye majungu zaidiHawa walimu Kuna mda huwa nawaza ni binadamu wenzetu kweli? Kuna vitu wanavifanya utafikiri hawajasoma vile. Wanakopa too much mpaka wanaacha kadi kwenye vitaasisi vya mikopo kama bayport na plutnum credit.
Nipo apa duka moja la mangi ananiambia walimu wote wa shule jirani huwa wanaenda kukopa unga, sukari hadi kiwembe cha Mia, jambo Zito mpaka mkuu wa shule kaacha kadi kwa madeni madogo madogo kwahiyo mangi huwa anatoa pesa yake itakayobaki anampa ticha
Jambo bovu na lakijinga hawa watu Kila kazi wanataka mpaka za sensa na uchaguzi labda kwasababu mishahara yao midogo ila yaliyotokea oktoba 29 main source ni walimu.. Vituo vyote vya kupigia kura wasimamizi wakuu walikuwa ni walimu nandowalishiriki kutiki makura feki. Hawa watu hawa dahhh!!! View attachment 3531357
Ualimu ni witoUalimu ni laana
Ualimu ni laana