Walimu wadada mbona mmepinda sikuhizi?

Walimu wadada mbona mmepinda sikuhizi?

Naongelea waalimu wa shule za msingi na upili (baadhi sio wote) zamani enzi za mwalimu ukitaka kuoa waalimu ndio walikuwa ni candidate wa kupigiwa mifano kila mtu atakupongeza kwa kubahatika kupata jiko kama hilo la uhakika ndio maana unaweza kuona viongozi kibao serikalini walijitwalia wake huko na hawajawahi angushwa/jutia kupata wake huko wenye haiba na maadili yaliyotukuka.

Kwa miaka ya karibuni wamebadilika sana wengi micharuko kama huku mtaani tu kama wako wa kupigiwa mfano inabidi umulike na tochi hata ukipata wengine wanaona kila mtu ni kama mwanafunzi wake wa darasani/kila kitu anajua yeye!Mpaka kwenye sehemu zisizo na staha unakuta walimu pia wapo (mfano social network na magroup mbalimbali wako huko) utajenga vipi maadili ya wanafunzi na familia yako wakati wewe mwenyewe umepinda?

Nimeongelea walimu kwakuwa ni vioo kwa vijana wetu waliohuko mashuleni kwao na katika jamii.

Karibu kwa wenye hoja na mitizamo/uzoefu tofauti na waalimu wa kike, dada na wake zetu.

Wanajilemba sana mpaka mshahara hauwatoshi hawa wa siku hizi
 
madame B taratibu.wewe naona ndio umepinda kuliko upinde wenyewe!
Sasa kwanini nisipinde wakati nimetoka kwenye kazi ya u-stripper pale New Africa
Ulidhani wote tulizaliwa kuwa walimu?
Ngoja kwanza nijidunge dozi ya Cocaine kwanza nipate stimu...
 
madame B hata scheme of work huna wewe! lesson.plan imo kichwani
Hahaha ulijuaje, Scheme mpaka leo sijamaliza.
Lesson plan nayo tangu niandae tarehe 2 Jumatano sijaifungua.
Shajara ndo majanga matupu.
 
Hahaha ulijuaje, Scheme mpaka leo sijamaliza.
Lesson plan nayo tangu niandae tarehe 2 Jumatano sijaifungua.
Shajara ndo majanga matupu.
kwa hiyo mitoko vigumu kufanya hayo matayarisho! na ukizingatia shule zilivyonyingi wakaguzi wachache hawafiki kukagua madarasani walimu mnaishi kwa free style
 
mkuu, umegusa kwenyewe. walimu wa siku hz ni NYOKA ndio maana utakuta wengi wao wanaenda umri bila kuolewa...wakija kushtuka imekuwa magharibi.
 
mkuu, umegusa kwenyewe. walimu wa siku hz ni NYOKA ndio maana utakuta wengi wao wanaenda umri bila kuolewa...wakija kushtuka imekuwa magharibi.
wanakula ujana hatari.
 
Back
Top Bottom