kweli mkuu inabidi wajiongeze fedha ni fupi mnooo.zaman kipato kilikuwa kinawatosha, kwa xx maisha yapo juu wengi inabidi wamilik biashara Na biashara walioona inawafaa Ni Glossary Na pub, sasa bila kuwa wamepinda wataifanyaje wateja wenyewe mnataka kuandika mpk mwisho WA mwezi lazima wawe zaid ya kauzu.
ni kweli vyuoni wako huru kama wapo university.na umri wao ulivyomdogo wanashindwa kumudu uhuru wanaopewa.MKUU TATIZO LINAANZIA VYUONI full stop plus na malezi ndo basi
enzi zile vyuo vilikuwa na sheria sana sasa hivi chuo cha ualimu kama university upo free with anything
Katika viumbe wanaongoza kwa bajeti walimu wanashika namba,mpaka njiti ya kiberiti anakata mara mbili....watakurusha roho hao! unasikia viwanja wanavyovitaja? utarusi humu.ukijuuutra.
Hawa watu ni hatari.hiyo bajeti hataree[emoji12]
nitake radhi rubii[emoji12]
Beach wear sio maadili ati...
Mabaamed wako vizuri sanaSo unatushauri tufate kada gani mbadala wa walimu!??
Btw tabia ni mtu sio taaruma alionayo...
Mie hapo nilikuwa jana.Mie nipo toroka uje nakula kitimoto na castle lite nipate stimu za kuandalia lesson plan
masai dada sijui ukwapi Catalunya ndiooo mtaa wake