KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,887
- 40,069
Mkuu wewe unatania, kuna mdada wa kazi ana kijana wa ng'ombe, ana boda boda wa kijiwe cha mtaani, kijana wa kiume wa humo ndani, yani balaa
Mama weeeeeeeeeee.....!!!!!
Mkuu wewe unatania, kuna mdada wa kazi ana kijana wa ng'ombe, ana boda boda wa kijiwe cha mtaani, kijana wa kiume wa humo ndani, yani balaa
Hahahh....mwalimu unavuliwa nguo na wanafunzi kitaswira ukiwa ubaoniKudadeki!!
Wamekariri bobmbona.wengi wanakauka midomo mpaka.wanataka msafiri bure kwa daladala?
Ambao hawajasoma, ndo jibu lao humu tehAina ipi ya wanawake ndo wapo kwny chati?
Aah nilimaanisha asiye na elimu kubwa ya darasani, angalau kaishia form 4hakuna asiyesoma wengine wamejifunza elimu za darasani wengine za asili ya maisha.ndo maana wote tukiingia chalinze kuja Dar tunavikwa majoho ya kufuzu.
kweli mkuu ndo maana nimesema mada hii ni kwa wale wa certificate& dipZamani walimu wa diploma na wa cheti walikuwa wengi, na huko kwenye vyuo ualimu walikuwa wanafundishwa mambo ya malezi na haiba ya ualimu kwa ujumla. Sasa hivi walimu wengi wanatoka vyuo vikuu ambako mambo ya malezi na haiba hakuna anayeyaangalia.
Aliyesoma diploma halafu akaenda chuo kikuu ataungana na mimi katika hiki ninachosema. Na haiwezekani huko vyuoni ukaanza mambo ya malezi haiba kwa wanachuo ualimu tu wakati wanachuo wa kozi wengine wakijiachia...nyakati zimepita sasa, twende hivyo hivyo!
Tuhamie kwa mama lishe au benki tellers.So unatushauri tufate kada gani mbadala wa walimu!??
Btw tabia ni mtu sio taaruma alionayo...
huyo ni madame B: Hata mimi ningefeli kwa mvuto huo! khaWanafunzi wenyewe kama hawa?
View attachment 328584
kada wa ccm wafuateSo unatushauri tufate kada gani mbadala wa walimu!??
Btw tabia ni mtu sio taaruma alionayo...
wanasheria mkuuSo unatushauri tufate kada gani mbadala wa walimu!??
Btw tabia ni mtu sio taaruma alionayo...