Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,841
- 37,579
Na hata ikiundwa,labda hizo social media na viwanja vikali vifungwe....achilia mbali ma-boutique ya nguoHadi iundwe tume ya kutunyoosha
Na hata ikiundwa,labda hizo social media na viwanja vikali vifungwe....achilia mbali ma-boutique ya nguoHadi iundwe tume ya kutunyoosha
Nimekujibu ndani ya box hapa nzi wengi
Ha ha ha, eti nzi, jibu lenyewe limejibana kwenye kona kwa chini hata kuliokota nashindwa.
Mkuu hadi saizi hiyo comment ina like 67 tena kutoka kwa watu makini zaidi yako.Jitafakarimkuu acha bangi
....
ni bangi tu...Mkuu hadi saizi hiyo comment ina like 67 tena kutoka kwa watu makini zaidi yako.Jitafakari
tehe tehe tehe hata kwetu wapo wa hivyo.ni bangi tu...
Muite mama chanja hapoo akuhelp
nadhani hata ww unaelewa kuwa zipo.zisizofaa.hapo ndio panapohusika lakini pia wakati wa kazi kuna waalimu wanakuwa online.hujaona kwenye hii mada wengine anajibu yuko shuleni.Nauliza tu..mtu kuwepo kwenye social networks ni kukosa staha??
Wamezoea kuona walimu na magauni malonyaNa hata ikiundwa,labda hizo social media na viwanja vikali vifungwe....achilia mbali ma-boutique ya nguo
Walimu wa msingi.mkuu inawezekana huelewi kuwa waalimu wanafundishwa HAIBA ya ualimu na MAADILI katika masomo yao ni tofauti na fani zingine ambazo watu tunapuyanga kama kondoo asiyekuwa na mchungaji.kwenye mke sikushauri mkuu.usije ukarudi kwangu yakikushinda
Umeona eeee.Wamezoea kuona walimu na magauni malonya
Mie nipo toroka uje nakula kitimoto na castle lite nipate stimu za kuandalia lesson planUmeona eeee.
Kwanza mie hapa nishamaliza kipindi nataka nikupitie na rubii twende Catalunya au Samaki samaki.
Maana weekend viwanja vitajaa, au twendeni Rhapsody's.
Walimu sie kila viwanja tupo.
Asituzingue hapa....Rose Muhando mwenyewe alikuwa kahaba now ni muimba injili.
Umeona eeee.

kwa mshahara upi?!! labda kama unapaa samaki.Mie nipo toroka uje nakula kitimoto na castle lite nipate stimu za kuandalia lesson plan
masai dada sijui ukwapi Catalunya ndiooo mtaa wake
viwanja vyote mnavijua kha! hata library mnaenda kweli?! mwehUmeona eeee.