Junior. Cux
JF-Expert Member
- Feb 3, 2011
- 5,319
- 3,798
elimu ya kuungaunga... nichukulie poa'Taaruma" ndio nini?
elimu ya kuungaunga... nichukulie poa'Taaruma" ndio nini?
kweli mkuu zamani ukiwa mdogo unatamani utembee,uvae na uongee kama mwalimu fulani.siku hizi.utachora chini.kwenye mihemko ya mtaani hawako nyuma.Mtoa mada umetumia staha sana kuongelea hawa baadhi ya walimu wengi wakike. Zamani ilikua hivyo walimu wa kike walikua ni mfano wa kuigwa lakini kwetu sisi sasa hivi wamekua ni mfano wa kuonyea. Maadili hawana kabisa, wazinzi sana( zamani ilikua ma askari lakini miaka hii walimu nao wapo sana ila hawavumi), walevi, tamaa, kibuli , ubishoo na usista duu NK. Miaka ya nyuma kama unahitaji kuoa mwl wa kike, tulikua tunaoa tu tena bila hata kuuliza tabia lakini sasa hivi kama huta chunguza vizuri utapata fisi maji aliye jifunika ngozi ya ualimu.
Mwisho nadhani ukosefu wa ajira huku mtaani na mikopo huko mavyuoni labda umefanya baadhi ya watu wengi kusomea fani ambazo sio zao ndio maana hii kada ya ualimu nayo ni muhanga.
NB: Nimesema sio walimu wa kike wote ila baadhi yao wengi wako na hizo matabia. Kwahiyo badilikieni.
mkuu acha bangiUkweli unabaki kuwa "REAL MEN MARRY TEACHERS"
kweli mkuu ila.kwa jinsi wanavyofelisha watoto naamini serikali itawamulika waliojiunga huko bila wito ila kupata ajira na kuuza sura.Hakika jamii hubadilika kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo muda, mazingira na maendeleo ya sayansi na teknolojia. Kwa hiyo usishangae mtoa mada ingawa mpaka sasa hao watu bado wengi wao wanaaminika sana kwenye jamii.
Naongelea waalimu wa shule za msingi na upili (baadhi sio wote) zamani enzi za mwalimu ukitaka kuoa waalimu ndio walikuwa ni candidate wa kupigiwa mifano kila mtu atakupongeza kwa kubahatika kupata jiko kama hilo la uhakika ndio maana unaweza kuona viongozi kibao serikalini walijitwalia wake huko na hawajawahi angushwa/jutia kupata wake huko wenye haiba na maadili yaliyotukuka.
Kwa miaka ya karibuni wamebadilika sana wengi micharuko kama huku mtaani tu kama wako wa kupigiwa mfano inabidi umulike na tochi hata ukipata wengine wanaona kila mtu ni kama mwanafunzi wake wa darasani/kila kitu anajua yeye!Mpaka kwenye sehemu zisizo na staha unakuta walimu pia wapo (mfano social network na magroup mbalimbali wako huko) utajenga vipi maadili ya wanafunzi na familia yako wakati wewe mwenyewe umepinda?
Nimeongelea walimu kwakuwa ni vioo kwa vijana wetu waliohuko mashuleni kwao na katika jamii.
Karibu kwa wenye hoja na mitizamo/uzoefu tofauti na waalimu wa kike, dada na wake zetu.
Acha wafeli mwenzangu mie kila mwezi pesa inaingia atiii
Kwani we ni mwalimu?
Hulipi nauli pia?
Hilo usemalo ni kweli kabisa. Lakini kwa dunia ya sasa sio walimu wooote wana maadili kama walivyofundwa na wakufunzi wao.Mwalimu hata umwone anapuyanga mtaani,wana maadili sana ktk jamii na wanafundishwa saikolojia na malezi bora ya familia hasa watoto.
Mie kungwii
Kungwi wa nini?
Mambo yetu yaleeeeee.....
Duh! Unakungwia na jinsia yetu?
Ukijibu ndiyo tu nakuja fasta.