Walimu wadada mbona mmepinda sikuhizi?

Walimu wadada mbona mmepinda sikuhizi?

mkuu nilimsikia Mhubiri mmoja ADAM HAJI alisema 'Mungu siku hizi hatafutii watu wake kuepuka lawama kama za ADAMU.pale Eden alivyodanganywa na HAWA. alimwambia mungu kuwa mke uliyenitafutia ndiye amenifanya niasi'
Duh:O
 
Nimeangua kicheko kikubwa mkuu! Juu Mwenyezi Mungu kujivua jukumu! Mwenyezi Mungu bado yupo katika ukutanisha ni waume na wake kwa wale wamuombao na kumuamini. Kitabu cha Mithali kinasema nyumba na mashamba( mali) mtu upewa na babaye bali mke mwema anatoka kwa Bwana.
 
umenena vema mkuu.nilitaka nikuvunje mbavu kidogo.'Mungu anatuwazia mambo mema ya amani,si mabaya na ya kutupa tumaini siku za mwisho' pia kwa mtu kupata mke/mume ni jambo jema na unapata kibali kwa Bwana.so kazi ya Mungu bado tunaiishi.sema wengi.hatusikii akinena nasisi tunazitegemea akili zetu za kibinadamu.
na tumemezwa na Dunia miili inatutawala badala ya roho.
 
Siku hizi kila mtu amebadilika. Viongozi wa dini nao wamo ktk uchonganishi na vurugu. Wazee wanataman mambo ya ujana,wanawake wanatamani kuwa kama wanaume,alikadharika wanaume wapo wanaojiweka kama wanawake. Kwa ufupi siku hizi vurugu nyingi kila sekta.

Sema kuna jina linatumika "UTANDAWAZI"
 
sasa kumbe nyie ndo mlifanya hata wale ambao hawana haiba ya ualimu wasomee ili waolewe, halafu hao vijana wanaowafundisha mama zao hawavai nguo zisizo na haiba? dada zao je, hapo usimlaumu mwalimu utakuwa unamuonea kama mwanafunzi hana maadili hana tuu hata mwalimu angevaa nguo gani haiwezi kubadili mwenendo wa mwanafunzi
 
Back
Top Bottom