Tz boy 4tino
JF-Expert Member
- Sep 14, 2014
- 1,598
- 1,816
Mbali na PayPal??.
Nimeku soma.kwan wwe unapiga pesa kupitia platfom gan mkuu?
BTW naonaga wanaopiga pesa wanapokea kupitia skirril & wire transfer
poa. niambie hlo chimbo nkapige hzo pesa na mm bhasNimeku soma.
hapa kwenye paypal natamani kufahamu nawezaje kuconfirm account yangu bila credit card maana kuna hela zinatumwa huko zinagomaaaaMbali na PayPal??.
Xoom & Skrill n.kMbali na PayPal??.
Tupo pamoja mkuu..Xoom & Skrill n.k
Hli swali langu hujalionaga tuh au siopoa. niambie hlo chimbo nkapige hzo pesa na mm bhas
Hli swali langu hujalionaga tuh au sioTupo pamoja mkuu..
Mimi bado najifunza mkuu, haya mambo bado sipo vizuri.. Hata clients sipati consistently na sina clients wa uhakika …Hli swali langu hujalionaga tuh au sio
Hli swali langu hujalionaga tuh au sio
Payoneer, skrill, transferwiseMbali na PayPal??.
Tumia vodacoma mastercard au airtel mastercard.hapa kwenye paypal natamani kufahamu nawezaje kuconfirm account yangu bila credit card maana kuna hela zinatumwa huko zinagomaaaa
Sawa!Mimi bado najifunza mkuu, haya mambo bado sipo vizuri.. Hata clients sipati consistently na sina clients wa uhakika …
Wabongo bhana, we only share alcohol & cigarettes not Business ideas.umeamua kumkazia kabisa
Siku hizi hapa Tanzania paypal inaruhusu kupokea na kutuma hela?Western union, ni easy maana unapokea cash bila Makati,PayPal iko poa though inamzunguko kidogo..wire transfer iko vizuri though inachelewa maana pesa hufika kuanzia baada ya 2 days au zaidi
Ukifanya kazi kwenye platforms au na agencies nyingi hazilipi kwa western unionWestern union, ni easy maana unapokea cash bila Makati,PayPal iko poa though inamzunguko kidogo..wire transfer iko vizuri though inachelewa maana pesa hufika kuanzia baada ya 2 days au zaidi
Kutumia Haina shida mkuu..kupokea ndo ilikuwa changamotoSiku hizi hapa Tanzania paypal inaruhusu kupokea na kutuma hela?