Wale wanaopiga pesa online Tanzania, vipi mnatumia platform gani kupokea pesa?

Grreetings.

Nina pesa kwenye Payoneer account, niko stage ya ku Order kadi yao, ila kiasi kilichopo nilitamani nikijaribishe kukifanyia Withdrawal kuja bank account ya Tanzania.
Nina maswali machache kuhusu process hii...
1. Is it possible ka transfer from USD payoneer account to TZS CRDB account?
2. How are the charges?
3. Je, nkisubiri card yao, inawezekana kwenda any VISA ATM nkaweza withdraw without challenges?

Naombeni muongozo na maelezo zaidi wadau

REGARDS
 
Very possible, makato yanaweza fika hata $20.
Uki withdraw pesa atm watakukata kati ya $8 mpaka 12.5 kwa kila withdraw utakayofanya.
 
Grreetings.

Nina pesa kwenye Payoneer account, niko stage ya ku Order kadi yao, ila kiasi kilichopo nilitamani nikijaribishe kukifanyia Withdrawal kuja bank account ya Tanzania.
Nina maswali machache kuhusu process hii...
1. Is it possible ka transfer from USD payoneer account to TZS CRDB account?
2. How are the charges?
3. Je, nkisubiri card yao, inawezekana kwenda any VISA ATM nkaweza withdraw without challenges?

Naombeni muongozo na maelezo zaidi wadau

REGARDS
1. Yes it is possible, I do that every now and then. It usually takes 1 day to reflect to my Equity if the withdraw is made between Monday to Thursday. A friend has CRDB and it usually take him upto 3 days.

2. Payoneer charges $15 if the amount is below I believe $700, but they charge 2% the amount if it's above that. Once the amount lands in your account the bank deducts 16,500Tzs as their processing fee.

3. Yes you can but I would highly advice against using the card here.
 
Inachukua muda gani kupokea pesa kutoka Zoom PayPal kuja Tigopesa. Kuna hela nimetumiwa tangu tarehe 26 mwezi huu, haijafika. Naombeni msaada Wakuu.
 
Mkuu ni Instant au within a few minutes. Every 28th ya kila mwez napokeaga malipo via xoom, ntumaji akishatuma ananitumia ile link ya kutrack via email haipiti hata dakika muamala wa airtel money unasoma. Kama mpaka sasa haijasoma kuna shidam au alikutumia ela nyingi sana nini?
 
Kama pound 850 hivi. Itakuwa ndio shida? Hiyo tracking ananitumia vipi mkuu. Nipo na stress kweli.
 
Naona jamaa kasema kuna muda inachukua week, mimi kiasi kikubwa ambacho nshawahi kukipokea via xoon ni $1200 nayo ni ndani ya dakika mara nyngi ni $250-400.
So sikilizia halafu mimi wanaitumaga airtel.
Linki mimi wanaifuma kwenye email nikiclick naona pesa imefika wapi au iko step gan via xoom
 
Nashukuru Wakuu. Ngoja nisubiri nione.
 
Ha ha watu hawataki kufunguka kufanya mishe gani za kuingiza pesa ila wanafunguka njia za kutuma na kupokea pesa
 
Wabongo wachache sana wanapiga pesa online kutoka western countries , na ukiona mtu anapiga pesa ujue amestruggle sana kupata channel hzo , kuanzia kuestablish payment methods mpka ela inaingia kwa account legally sio kitoto, kuna watu wanafanya content creation, wengine e commerce huko amzon ebay na alibaba kwa ku create drop shipping store n.K wengine ni ma pirates tu mtandaoni aka ingia unaswe ,hackers , wengine forex trading, wengine freelancing, wengine information agents, wengine money loundering business . Kwahyo ni ngumu sana mtu kukufungukia anafanya nini exactly , lakini mimi nimefanya vitu kadha wa kadha nmeandika kitabu changu na kopy ya kitabu nauza laki mbili na nusu (250,000/=) kina page 153 nmeandika madini ambayo yanasema exactly what to do to earn money from the internet na nmeweka 15 ways humo. Atakaye taka atanunua. Kwasababu kama kuna kitu watu wanaopiga pesa kwenye mtandao hawataki ni saturation, yaani mkiwa wengi mnaofanya kiu kimoja mtandaoni kupiga ela , pesa zinapungua ndo tabia za money sources on the internet na ndio maana kitabu ni bei kali na nimeandika kwa kiswahili na english kuongeza uelewa. 0755100907, 0686300559
wepik-how-start-your-business-book-cover-20230627202211aLD4.png
 
Back
Top Bottom