Wale wanaopiga pesa online Tanzania, vipi mnatumia platform gani kupokea pesa?

Payoneer si iko under Fisrt Century Bank na si walikupa Routing number na account number.. hapo umefunga kaazi kabisaa
Payoneer wanafanya kazi na mabenk meng, wamenipa account za kila major currency na bank tofauti.
 
nishafanya hii kitu skirill wakaburn account na 900$

Ukifanya verification ya Skrill iliyo kamilika bila kuwa na ungaunga uta enjoy sanaa!!! Hawana shida, halafu account yako ikifika kuwa level ya silver hawana fee yoyote..
Sasa ulifanya vipi bila kuwa na IDs,
Maana Skrill wanataka hadi face verification , wewe ukipitaje hizooo
Hahahha
 
Labda nikuelekeze kidogo mkuu,
XOOM iko under PayPal , Xoom ni PayPal money Transfer Service,, Ukiwa unatumia Paypal ya US XOOM inakuwa ndani ya US PayPal,,
Kazi ya Zoom kwenye US PayPal ni kufanya Service Zifuatazo:
1: Unaweza ku recharge muda wa maongezi dunia nzima, Lakini ikwa tanzania ni mitandao mitatu unaweza ku recharges
(Tigo, Vodacom na Airtel)
Hiyo Huduma wanaita Reload Prepaid Phones

2: Pili Xoom inatoa access ya kutuma Pesa dunia nzima , na receiving Option inakuwa ni CashPick Up na Mobile Wallet..
-Ukitaka kutuma kwa Tanzania kwa Cash PickUp Recipient (uliyemtumia) anaweza kuichua au kupokea hiyoo pesa EcoBank, CRDB Bank na ICB
-Na ukitumamia mobile wallet uliyemtumia atapokea kwa Airtel, Tigo na vodacom (mobile money)

Na hiyoo ndo kazi ya Xoom within PayPal ya US
View attachment 1789088

View attachment 1789089
View attachment 1789090
View attachment 1789091
View attachment 1789092
View attachment 1789093
View attachment 1789094
Safi kabisa mkuu kwa maelekezo mazuri..
 
Ntaku pm mkuuu!!!
Nina PSD za all US states!!
(DL, SSN, PASSPORT na STATE ID) lets make some
Mkuu, kwa uzoefu wako wa kufanya online transactions, je unashauri nfungue account gan kat ya skrill,payoneer na PayPal? Ambayo itaniwezesha kutuma&kupokea pesa worldwide bila kucheat IP yangu. Yaan stak mambo ya kudanganya npo kenya

*>Nlipendelea PayPal kwa sababu ni very popular na pia hyo huduma yake ya XOOM but unfortunately XOOM is only for US PAYPAL.

Any advice pls?
 
Payoneer unaweza kulipa registered businesses sio kwa ajili ya kutumiana personally tu. Huwezi kuitumia kama substitute ya paypal. Sijui kuhusu Skrill
 
  • Thanks
Reactions: _ID
Western union, ni easy maana unapokea cash bila Makati,PayPal iko poa though inamzunguko kidogo..wire transfer iko vizuri though inachelewa maana pesa hufika kuanzia baada ya 2 days au zaidi
Noted👏👏👏 I agree with you
 
Payoneer unaweza kulipa registered businesses sio kwa ajili ya kutumiana personally tu. Huwezi kuitumia kama substitute ya paypal. Sijui kuhusu Skrill
Hivi haiwezekani ukawa na pesa kwenye PayPal account uliyotumiwa badala yake ukanunua kitu online kutokana na kutoa kutowezekana?
 
Jamani hayo madola mnayopata na kutumiwa mnatumia njia gani kuyapata,
 
Labda nikuelekeze kidogo mkuu,
XOOM iko under PayPal , Xoom ni PayPal money Transfer Service,, Ukiwa unatumia Paypal ya US XOOM inakuwa ndani ya US PayPal,,
Kazi ya Zoom kwenye US PayPal ni kufanya Service Zifuatazo:
1: Unaweza ku recharge muda wa maongezi dunia nzima, Lakini ikwa tanzania ni mitandao mitatu unaweza ku recharges
(Tigo, Vodacom na Airtel)
Hiyo Huduma wanaita Reload Prepaid Phones

2: Pili Xoom inatoa access ya kutuma Pesa dunia nzima , na receiving Option inakuwa ni CashPick Up na Mobile Wallet..
-Ukitaka kutuma kwa Tanzania kwa Cash PickUp Recipient (uliyemtumia) anaweza kuichua au kupokea hiyoo pesa EcoBank, CRDB Bank na ICB
-Na ukitumamia mobile wallet uliyemtumia atapokea kwa Airtel, Tigo na vodacom (mobile money)

Na hiyoo ndo kazi ya Xoom within PayPal ya US
View attachment 1789088

View attachment 1789089
View attachment 1789090
View attachment 1789091
View attachment 1789092
View attachment 1789093
View attachment 1789094
SaFi Sana Elimu Nzurii
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom