Video games vs Online games; kuna utofauti kweli?

Wale wa FIFA 22 na Mortal Kombat...na wale wa hii michezo ya Online kupitia kampuni na platform mbali mbali.. ukiachana na teknolojia inayotumika,kuna utofauti gani watu wangu?
Games za online zipo za aina mbili
1. Game unadownload kwenye kifaa chako inasave tu progress online, hizi huwa hazizingui sana na zinafanana tu na za Offline.

2. Game ambayo ipo Hosted online kabisa na wewe unistream, hizi zinakula MB za kutosha na inataka usiwe na internet ya mawazo na uwe karibu na server.

Hizo za online pia ni Computer hivyo hakuna utofauti wa game ya online na offline,
 
Tom crancy the division series ni online tu?
 
Games za online zipo za aina mbili
1. Game unadownload kwenye kifaa chako inasave tu progress online, hizi huwa hazizingui sana na zinafanana tu na za Offline.

2. Game ambayo ipo Hosted online kabisa na wewe unistream, hizi zinakula MB za kutosha na inataka usiwe na internet ya mawazo na uwe karibu na server.

Hizo za online pia ni Computer hivyo hakuna utofauti wa game ya online na offline,
Okay okay nishakusoma
 
Back
Top Bottom