Wale wanaopiga pesa online Tanzania, vipi mnatumia platform gani kupokea pesa?

MGuccI

JF-Expert Member
Feb 1, 2014
1,471
2,000
Xoom & Skrill n.k

Xoom & Skrill n.k

Labda nikuelekeze kidogo mkuu,
XOOM iko under PayPal , Xoom ni PayPal money Transfer Service,, Ukiwa unatumia Paypal ya US XOOM inakuwa ndani ya US PayPal,,
Kazi ya Zoom kwenye US PayPal ni kufanya Service Zifuatazo:
1: Unaweza ku recharge muda wa maongezi dunia nzima, Lakini ikwa tanzania ni mitandao mitatu unaweza ku recharges
(Tigo, Vodacom na Airtel)
Hiyo Huduma wanaita Reload Prepaid Phones

2: Pili Xoom inatoa access ya kutuma Pesa dunia nzima , na receiving Option inakuwa ni CashPick Up na Mobile Wallet..
-Ukitaka kutuma kwa Tanzania kwa Cash PickUp Recipient (uliyemtumia) anaweza kuichua au kupokea hiyoo pesa EcoBank, CRDB Bank na ICB
-Na ukitumamia mobile wallet uliyemtumia atapokea kwa Airtel, Tigo na vodacom (mobile money)

Na hiyoo ndo kazi ya Xoom within PayPal ya US
IMG_2893.jpg

IMG_2895.png

IMG_2896.jpg

IMG_2898.jpg

IMG_2899.jpg

IMG_2900.jpg

IMG_2901.jpg
 
MGuccI

JF-Expert Member
Feb 1, 2014
1,471
2,000
Unafoj kuwa uko kenya, sema siku kikinuka imekula kwako. Mimi mwezi uliopita wamekamata 2325$ mpaka sasa nazichungulia tu nasubiri ifke mwezi wa tisa nizitoe wafunge akaunti mazima

Nilitumia PayPal ya Kenya kwa muda wa miezi sita tuu,,
Maana ilikuwa inanibana, sababu inatoa limitations ya salio kuwa ndaani, haiwezi kubeba zaidi ya 3000$ humoo,. Lazima watake proof of identification, na wewe huna ID umetumia namba ya safaricom + Address then ukalink tuu!!
Nilipoteza sanaa hela walihold hela yangu kwa miezi kadhaa ndo nikapata Solution.. Hilo Lako nitafute nikupe Solution mkuu!!
 
MGuccI

JF-Expert Member
Feb 1, 2014
1,471
2,000
Platform nyingi, ni paypal, moneybookers/skrill, bank transfer (hapa ndipo payoneer inajipatia credit), payoneer

Payoneer is the best Sema mm naona inawafaa sana watu wa makampuni.. Raha ya Payoneer ukisha kamilisha usajiri vizuri hawana shida.. hawana ku hold transctions.. though naona kwa matumizi personal sio wengi wanatumia!!
 
Nafaka

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
6,057
2,000
Nilitumia PayPal ya Kenya kwa muda wa miezi sita tuu,,
Maana ilikuwa inanibana, sababu inatoa limitations ya salio kuwa ndaani, haiwezi kubeba zaidi ya 3000$ humoo,. Lazima watake proof of identification, na wewe huna ID umetumia namba ya safaricom + Address then ukalink tuu!!
Nilipoteza sanaa hela walihold hela yangu kwa miezi kadhaa ndo nikapata Solution.. Hilo Lako nitafute nikupe Solution mkuu!!
Solution ni kutengeneza IDs nmefanya hivyo kwenye akaunti tatu, na hiyo waliyohold nmeitumia miaka 3, imepita zaidi ya dollar 10000 walihold hiyo ela kwa ujinga wangu tu, nilichangany madesa
 
Kilangi masanja

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
3,161
2,000
Kwani ukienda nchi jirani ukasajili safaricom yako moja safi tena kwa particular zako kabisa alafu ukarudi huku ukalamaisha na mastercard yao si unainjoi tu
 
B R A C E L E T

JF-Expert Member
Nov 11, 2018
2,227
2,000
Nilitumia PayPal ya Kenya kwa muda wa miezi sita tuu,,
Maana ilikuwa inanibana, sababu inatoa limitations ya salio kuwa ndaani, haiwezi kubeba zaidi ya 3000$ humoo,. Lazima watake proof of identification, na wewe huna ID umetumia namba ya safaricom + Address then ukalink tuu!!
Nilipoteza sanaa hela walihold hela yangu kwa miezi kadhaa ndo nikapata Solution.. Hilo Lako nitafute nikupe Solution mkuu!!
Mkuu naomba uandike hapa kwa ufupi tujifunze.
 
Nafaka

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
6,057
2,000
Kwani ukienda nchi jirani ukasajili safaricom yako moja safi tena kwa particular zako kabisa alafu ukarudi huku ukalamaisha na mastercard yao si unainjoi tu
Inabidi iambatane na kitambulisho cha taifa cha kenya, au leseni ya udereva, au passport, utility bill au bank statement ya kenya 😅😅😅 ili kuprove your physical address
 
MGuccI

JF-Expert Member
Feb 1, 2014
1,471
2,000
Solution ni kutengeneza IDs nmefanya hivyo kwenye akaunti tatu, na hiyo waliyohold nmeitumia miaka 3, imepita zaidi ya dollar 10000 walihold hiyo ela kwa ujinga wangu tu, nilichangany madesa

Hapo umewin kabisaa!!! Huwezi kutana na transactions hold!!
 
X-12

JF-Expert Member
Sep 23, 2020
445
1,000
Solution ni kutengeneza IDs nmefanya hivyo kwenye akaunti tatu, na hiyo waliyohold nmeitumia miaka 3, imepita zaidi ya dollar 10000 walihold hiyo ela kwa ujinga wangu tu, nilichangany madesa
unatengenezaje IDs.
 
6Was9

JF-Expert Member
Mar 2, 2021
1,176
2,000
Nilitumia PayPal ya Kenya kwa muda wa miezi sita tuu,,
Maana ilikuwa inanibana, sababu inatoa limitations ya salio kuwa ndaani, haiwezi kubeba zaidi ya 3000$ humoo,. Lazima watake proof of identification, na wewe huna ID umetumia namba ya safaricom + Address then ukalink tuu!!
Nilipoteza sanaa hela walihold hela yangu kwa miezi kadhaa ndo nikapata Solution.. Hilo Lako nitafute nikupe Solution mkuu!!
Mkuu unafanya issue gani online?
 
6Was9

JF-Expert Member
Mar 2, 2021
1,176
2,000
Inabidi iambatane na kitambulisho cha taifa cha kenya, au leseni ya udereva, au passport, utility bill au bank statement ya kenya 😅😅😅 ili kuprove your physical address
Mkuu unafanya issue gani online?
 
MGuccI

JF-Expert Member
Feb 1, 2014
1,471
2,000
Hata ela waliyohold watairudsha sema mwez wa 9, ukia na US bank account unaipata tu. Mimi nitawapa ya payoneer

Payoneer si iko under Fisrt Century Bank na si walikupa Routing number na account number.. hapo umefunga kaazi kabisaa
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom