Ndo ujue hawajakosea kuoa ila wanajidekeza tu hawa, ndio maana hawana visaYaani kuna visa viwili tu - the rest ni midahalo. SMH
Rudia kusoma hujamwelewaSi ndio hapo aisee mumechoka wote ila yeye akifika umpelekee juice uanze kupika umtengee ale yeye kazi yake kujamba na usiku umpe k jamani huo si utumwa mamboleo
Counsellor asie na ndoa tutafika tu lakini!
komeshaMimi kupata unyumba hadi yeye atake , kuna kipindi alinipiga desh wiki 2 , bac siku aliyokuwa na hamu , alianza kujichekesha toka dinner, mapema akaenda kwa bed , nami nikasema ngoja nimuoneshe nami nikawahi kwa bed nikalala nikampa mgongo , akajiongelesha wee mi nikajifanya nakoroma , hadi asubuhi , dah hizi ndoa hizi
Yaani kutoka tu kidogo unajiita bachelor...nchi ngumu hiiCounsellor ambaye ni bachelor tutafika tu lakini!
Ha ha ha kwa style hii ya kujipikia na kujifulia wacha kwanza tuendelee na kuchunguzana tu 😅😅😅
Oa bwana, sisi ni watu wema sana, ni wachache tu wasiotutakia mema ndio wanatuchafua
Kumbe ushaoaa..?;;hongerawHapana. ......ni kwamba Corporate women wengi hawapo kwa ajili ya kuolewa... sana sana ukiona yupo kwenye ndoa basi yeye ndiye mwenye uwezo financially kupita mumewe au mume ameamua kuyapuuzia mambo anayopaswa kufanyiwa na mke......Mbona sasa hivi nimeoa mke ambaye yupo bize na kazi zake lakini anakumbuka kama ana mme kila anapopata nafasi ....na kuna vitu vinavyonihusu ambavyo kamwe haruhusu vifanywe na housegirl......ni kujitambua tu.....acheni uhuni wenu
"Wadogo zangu waepukeni wanaume wasio na kipato hawana jema hata kidogo atakunyanyasa kwa kipato chako, atakudhalilisha kwa kipato chako yaani atapambana kuhakikisha unakuwa chini kama yeye kiuchumi na kifikra."Sasa mwanaume mwenye kipato kidogo wa nini jamani????
Wanaume wote waliojaaa wenye hela na kujielewa jamani.
Chaiiiii mwanamke utalipaje bills jamani???kuhudumia nyumba na watoto ni jukumu la mwanaume.
Kamwe usichukue majukumu yake.
Mwache apambane alete chakula mezani.
Jukumu la mwanaume kuhakikisha mke na watoto wanakula, kulala na kupata mahitaji muhimu ikiwemo elimu bora kwa watoto.
Mwanamke kulipa bills na kusimamia majukumu hii inamuondolea confidence mwanaume na ndo chanzo cha migogoro kama ndoa ya mleta mada.
Kazi ya kipato cha mwanamke ni moja tu kusaidia kuwa msaidizi yaani kujazilia sehemu ndogo sana, kuweka akiba pale mume siku akibanwa unampiga tafu, kuwa huru na kipato chako pia nikiamua kuwatoa out including mume ninatoka nae nalipa bills vizuri tu tunaenjoy maisha. Yeye pia ni binadamu iko siku atakwama, anaweza ugua au kupata matatizo mda mrefu kipato changu na akiba nilizoweka zitatusaidia tusongeshe gurudumu la maisha.
Kwanza kwa kumbukumbu zangu wanaume wasiokuwa na hela wana shida sana,mleta mada ni mmojawapo alizidiwa elimu na kipato na mke wake, ikamuondolea uanaume wake na kupelekea maugomvi na talaka.
Wadogo zangu waepukeni wanaume wasio na kipato hawana jema hata kidogo atakunyanyasa kwa kipato chako, atakudhalilisha kwa kipato chako yaani atapambana kuhakikisha unakuwa chini kama yeye kiuchumi na kifikra.
Heheh yule bwana heri hajambo😅 nilimuona ananisaidia kuvuna shamba languYaani kutoka tu kidogo unajiita bachelor...nchi ngumu hii
Ngumu...nkuhudumie na nkuheshimu si rahisi....!!labda iwe dharura may be umefukuzwa kazi au una matatizo!Hawa wa sasa wanataka majukumu yao wabebewe na ya nyumbani wafanyiwe
Mungu ana namna ya pekee ya kutunyoosha, huwezi kuwa juu milele kuna siku utakuwa chini😅 kifuatacho itakuwa majuto ni mjukuu"Wadogo zangu waepukeni wanaume wasio na kipato hawana jema hata kidogo atakunyanyasa kwa kipato chako, atakudhalilisha kwa kipato chako yaani atapambana kuhakikisha unakuwa chini kama yeye kiuchumi na kifikra."
Unawafundisha tabia mbaya siku huyo mwenye kipato kikubwa akifirisika atakimbiwa kwa staili hio
Mume wako ajiande he is the next victim
Bwana heri yupiHeheh yule bwana heri hajambo nilimuona ananisaidia kuvuna shamba langu
WanajidekezaNdo ujue hawajakosea kuoa ila wanajidekeza tu hawa, ndio maana hawana visa
Ina maana umemsahau jamani😅 au niongee na mlinzi wa makaburi😅Bwana heri yupi
Ha ha ha kwa style hii ya kujipikia na kujifulia wacha kwanza tuendelee na kuchunguzana tu
Wazo la Kifedhuli Sana hili wewe umewapima wakwakoMkuu hao watoto wa 4 nakushauri uwapime DNA.
Kuna kila dalili ya chai hapaKumbe ushaoaa..?;;hongeraw