Mimi kupata unyumba hadi yeye atake , kuna kipindi alinipiga desh wiki 2 , bac siku aliyokuwa na hamu , alianza kujichekesha toka dinner, mapema akaenda kwa bed , nami nikasema ngoja nimuoneshe nami nikawahi kwa bed nikalala nikampa mgongo , akajiongelesha wee mi nikajifanya nakoroma , hadi asubuhi , dah hizi ndoa hizi
komesha
 
Hapana. ......ni kwamba Corporate women wengi hawapo kwa ajili ya kuolewa... sana sana ukiona yupo kwenye ndoa basi yeye ndiye mwenye uwezo financially kupita mumewe au mume ameamua kuyapuuzia mambo anayopaswa kufanyiwa na mke......Mbona sasa hivi nimeoa mke ambaye yupo bize na kazi zake lakini anakumbuka kama ana mme kila anapopata nafasi ....na kuna vitu vinavyonihusu ambavyo kamwe haruhusu vifanywe na housegirl......ni kujitambua tu.....acheni uhuni wenu
Kumbe ushaoaa..?;;hongeraw
 
Sasa mwanaume mwenye kipato kidogo wa nini jamani????

Wanaume wote waliojaaa wenye hela na kujielewa jamani.
Chaiiiii mwanamke utalipaje bills jamani???kuhudumia nyumba na watoto ni jukumu la mwanaume.
Kamwe usichukue majukumu yake.
Mwache apambane alete chakula mezani.

Jukumu la mwanaume kuhakikisha mke na watoto wanakula, kulala na kupata mahitaji muhimu ikiwemo elimu bora kwa watoto.
Mwanamke kulipa bills na kusimamia majukumu hii inamuondolea confidence mwanaume na ndo chanzo cha migogoro kama ndoa ya mleta mada.

Kazi ya kipato cha mwanamke ni moja tu kusaidia kuwa msaidizi yaani kujazilia sehemu ndogo sana, kuweka akiba pale mume siku akibanwa unampiga tafu, kuwa huru na kipato chako pia nikiamua kuwatoa out including mume ninatoka nae nalipa bills vizuri tu tunaenjoy maisha. Yeye pia ni binadamu iko siku atakwama, anaweza ugua au kupata matatizo mda mrefu kipato changu na akiba nilizoweka zitatusaidia tusongeshe gurudumu la maisha.

Kwanza kwa kumbukumbu zangu wanaume wasiokuwa na hela wana shida sana,mleta mada ni mmojawapo alizidiwa elimu na kipato na mke wake, ikamuondolea uanaume wake na kupelekea maugomvi na talaka.

Wadogo zangu waepukeni wanaume wasio na kipato hawana jema hata kidogo atakunyanyasa kwa kipato chako, atakudhalilisha kwa kipato chako yaani atapambana kuhakikisha unakuwa chini kama yeye kiuchumi na kifikra.
"Wadogo zangu waepukeni wanaume wasio na kipato hawana jema hata kidogo atakunyanyasa kwa kipato chako, atakudhalilisha kwa kipato chako yaani atapambana kuhakikisha unakuwa chini kama yeye kiuchumi na kifikra."

Unawafundisha tabia mbaya siku huyo mwenye kipato kikubwa akifirisika atakimbiwa kwa staili hio

Mume wako ajiande he is the next victim
 
"Wadogo zangu waepukeni wanaume wasio na kipato hawana jema hata kidogo atakunyanyasa kwa kipato chako, atakudhalilisha kwa kipato chako yaani atapambana kuhakikisha unakuwa chini kama yeye kiuchumi na kifikra."

Unawafundisha tabia mbaya siku huyo mwenye kipato kikubwa akifirisika atakimbiwa kwa staili hio

Mume wako ajiande he is the next victim
Mungu ana namna ya pekee ya kutunyoosha, huwezi kuwa juu milele kuna siku utakuwa chini😅 kifuatacho itakuwa majuto ni mjukuu
 
Back
Top Bottom