Sitetei wanaume ama wanawake irresponsible.

I just want everyone to do his/her part. Mwanaume ahakikishe anahudumia na mwanamke ahakikishe analea familia.

Inapotokea mwanamke ni msomi na anataka kuitumia elimu yake, tena wamekubaliana na mmewe kwa amani basi afanye kazi. Lakini hiyo kazi isimfanye ashindwe kutimiza majukumu yake ya msingi (Malezi ya familia).

Zaidi ya yote; ninapinga mwanaume kufanya kazi za nyumbani isipokuwa kwa sababu za kiafya kwa mkewe.

Note: Mwanamke kufanya kazi za nyumbani ni kutimiza wajibu, siyo utumwa.
Yani mke akatafte hela, abebe mimba, wewe mwanaume una kazi Moja tu ya kuweka miguu kwenye sofa ufanyiwe kila kitu na mkewe na mnatoka wote kazini na hautaki msaidizi afanye kazi eti!?
Kwahyo wewe siku ukifanya mfano kumlisha mwanao utabadilika jinsia yako, mbona zamani wanawake walikuwa hawafanyagi kazi, na sasa wanafanya kazi na hawajabadilika jinsia zao kuwa wanaume.
Dah wewe ni mwanaume conservative sana you don't want change in 21c uko Karne za nyuma change is inevitable in this era
 
Hapa tunajadili hoja hatujadili maoni.

Maoni kila mtu anayo ila hoja ndani ya maoni hayo ndicho kitu cha msingi.

Pinga kwa hoja usiishie kusema maoni yangu na kufanya hiyo ni hoja ya kujitetea kwako.

Huu ujinga wa kumrundikia mwwnamke mikazi haukubaliki katu.
Mzee we utakuwa mpemba! Tamaduni za wabara haziko kama huko kwenu mzee 😅
 
Labda hiyo type unayo izungumzia ww ndiyo unayo kutana nayo, ila wanaume wanaotimiza majukumu yao kuanzia kwenye kulipa mahali mpaka kutumiza majukumu yao ndani ya familia wapo wengi tu.

Tatizo wengi wao hawa wataki wabeijing na wanawake wanaotaka mashindano kama nyinyi. Mnawapata hao wanaopenda kulelewa na kwapa hela ya mahali wakawalipie, ili muwaendeshe.
wanaume wapi wanaotimiza hayo majukumu Yao kutwa wanawake wanahangaika na mikopo na vicoba wanaume wanachoweza nyie kufuga ndevu tu, Yani wanawake wenu wanadanga walee familia
 
Yani mke akatafte hela, abebe mimba, wewe mwanaume una kazi Moja tu ya kuweka miguu kwenye sofa ufanyiwe kila kitu na mkewe na mnatoka wote kazini na hautaki msaidizi afanye kazi eti!?
Kwahyo wewe siku ukifanya mfano kumlisha mwanao utabadilika jinsia yako, mbona zamani wanawake walikuwa hawafanyagi kazi, na sasa wanafanya kazi na hawajabadilika jinsia zao kuwa wanaume.
Dah wewe ni mwanaume conservative sana you don't want change in 21c uko Karne za nyuma change is inevitable in this era
Sidhani kama umemuelewa freshi! Mwanaume anafanya part yake kama baba na wewe mke inakubidi ufanye part yako kama mama.

Theres no excuse in being a woman na utekelezaji wa majukumu yako! Kitu ambacho mnajichanganya ni kuwa kama ilivyo option kwa wewe kumsaidia mume mambo ya pesa nayeye kwake ni option kukusaidia majukumu yako kama mama wa familia!

Kama unaona kazi inakupa mzigo unashindwa kufanya majukumu yako ya kifamilia basi wewe acha kazi shinda home ili ufanye nafasi yako!
 
Yani mke akatafte hela, abebe mimba, wewe mwanaume una kazi Moja tu ya kuweka miguu kwenye sofa ufanyiwe kila kitu na mkewe na mnatoka wote kazini na hautaki msaidizi afanye kazi eti!?
Kwahyo wewe siku ukifanya mfano kumlisha mwanao utabadilika jinsia yako, mbona zamani wanawake walikuwa hawafanyagi kazi, na sasa wanafanya kazi na hawajabadilika jinsia zao kuwa wanaume.
Dah wewe ni mwanaume conservative sana you don't want change in 21c uko Karne za nyuma change is inevitable in this era
Mwanamke hautakiwi kutafuta hela, hiyo ni kazi ya mwanaume.

Whether it is 21st century or whatever; mwanaume bana kazi yake ni kuhudumia na mwanamke kazi yake ni kulea na kuhakikisha familia imekaa sawa.

Mwanaume afanye kazi za wanaume na atimize majukumu yake kama mwanaume; mwanamke afanye kazi za wanawake na atimize majukumu yake kama mwanamke.

Hatukatai; mwanamke anaweza kuwa ameenda shule na hivyo akahitaji kufanya kazi (otherwise hakukuwa na haja ya kusoma), lakini hiyo kazi haipaswi kumpa excuse ya kutotimiza majukumu yake. Kama inamfanya asitimize majukumu yake basi aiache ili a-concentrate na majukumu yake ya msingi na asili.

This is not about being conservative.
 
wanaume wapi wanaotimiza hayo majukumu Yao kutwa wanawake wanahangaika na mikopo na vicoba wanaume wanachoweza nyie kufuga ndevu tu, Yani wanawake wenu wanadanga walee familia
Kwa attitude yako utaendelea kuwapata Mamarioo, ila wanaume wakubeba majukumu yao kuanzia kwenye uchumba mpaka kwenye familia wapo ila WEWE SI TYPE YAO ,unawe kukutana nayo ila ndio mwendo wa kusuuza rungu na kupigwa chini.
 
Mzee we utakuwa mpemba! Tamaduni za wabara haziko kama huko kwenu mzee 😅
Kwanza inakuwaje mwanaume unajua kupika aisee... Raha ya mwanamke kuolewa na wanaume kama sisi tunaojua kupika chai tu ili aoneshe ufundi wake jikoni. Siyo mwanaume unajua kupika kuliko hata mke wako. Haha...
 
Duuuh Mungu aniepushe na mwanamke wa aina hii, kwa hiyo mmeo hana shukrani, ila sidhani kama umeolewa
oa mke asiye nashule na awe ana baki tu nyumbani ndio atakufanyia yote hayo Ili ujione mwanaume rijali
 
Back
Top Bottom