Mzee Shirimaa
JF-Expert Member
- Sep 12, 2018
- 1,539
- 3,462
Nilichomanisha hujanielewa nadhaniSasa kuhitaji kuheshimiwa na kunyenyekewa ndio inferiority complex? Pole Sana Rudi kwenye dictionary ,ni wajibu wa mwanamke kufanya hivyo ila alishindwa lazima mwanaume alinde status yake kwa gharama yeyote.



swala ni kusingizia eti hata glass ya maji kumpa mumeo huwezi kisa mmetoka wote kazini! Huo ni utoto wa hali ya juu, au kupakuwa chakula mle unaona kama utumwa you must be death!