Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 82,318
- 159,415
Mbona unajichanganya!! Maelezo yako pale awali yanapingana na hiki ulichoandika hapa.Very funny...kwanza nilimsomesha mwenyewe, anikamtafutia kazi alikuwa akilipwa mshahara chini ya laki 1,...nikaendelea kumpa maisha ,akaota mapembe... hajanizidi kwa chochote financially