Ngoja nasi tufananishe hapa, mbona hao kina Manji wameweza nyie mna nini hadi mshindwe? Hebu msijiendekeze jamani, tafuteni pesa mturahisishie maisha, tutawaosha hadi miguu
 
Huu Uzi inaonesha uko very active kuzidi ule wa Kumbu , konda msafi yani nasoma comments nikirefrsh comments zingine 20 zimeji update,

Watu ndoa zinawafesa jaman


Anyway baada ya miaka kadhaa namie ntakuja kuchangia humu kwa sasa nasoma comments nacheka
 
Si afadhali wewe, je mimi nikiyefia kwa 'Single mother na forrm II failure"?
 
Ngoja nasi tufananishe hapa, mbona hao kina Manji wameweza nyie mna nini hadi mshindwe? Hebu msijiendekeze jamani, tafuteni pesa mturahisishie maisha, tutawaosha hadi miguu
Hahahahah ukianza hapo ntakwambia kwanini samia yupo ikulu wewe unalilia kuhongwa😅
 
Huo uzungu mpelekee baba ako nyumbani kwenu. Ukiolewa lazima ufwate taratibu na sheria ikiwemo kumpikia mume wako. Kama hutaki kupika kaa nyumbani na mama ako ndio mtapangiana zamu za kupika sio kwa mume wako.
Mama zao wamewapikia baba zao hadi mimba zao zikatungwa

Wao hawataki wanajiita corporate women.


Strong women my foot
 
You are not our fathers, so do not expect us to be our mothers. Sisi ndio tuko baba, sasa hebu twendeni taratibu. Haya mambo yanazungumzika kabisa
Utaratibu ni ule ule fasten your belts😅 maswala ya kujifanya nati tutaendelea kuwakaza tu!

Sie ndio baba zenu for now mtake msitake ongezeko ni kuliwa mbunye tu!
 
Si wanawake wote ambao wameenda shule ni feminists wala si wanawake wote ambao hawajaenda shule ni wives material.

Tutaoa walioelimika na wanaojitambua.
kumbe wewe hutaki mabinti zako wapate treatment mbaya ila kwa mabinti wa wenzao sawa na unaita feminist ila wako wife material eeeh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…