Wakuu, mke wangu nimemchoka

Wakuu, mke wangu nimemchoka

sasa binti wa watu mpaka anakuuliza akiondoka utaishijee?? yani wew ndo unataka aondoke ila yeye anatamani kubakii.. Kama ni suala la uchi ya mimi hata nikianza kuomba mimi mwaka mzima sioni shida maana kiukweli wanaume ndo tuna migenyee zaidi..
Oya rikiboy huyu jamaa anajidai tu hapa atakua hana maajabu kwabed that's why manzi anamunakero tu.
 
Bdoani humu acheni tu. Mm wangu sijasex naye toka 2016 and kitabda 1 shuka tofauti. Si kwamba simpend and nampebda ila kwa mbaaaali. Nje tunaigiza hamna ugomvi and no one knows. Nachepuka hadi najihurumia
Khaaaaaaaaaaaaaaa
 
Mnaoa mapema sana 🤣😂,ndoa ni kuingia mkiwa watu wazima,ulimwengu umebadilika siku hizi sio km zamani za wazazi wetu wanaoana bado wadogo na ndoa zinatulia
Akili ya mtu tuu mbona huo umri ni unatosha tuu
 
Msijidanganye...tena mteme mate chini mumpe pole mwenzenu kabla hayajawakuta...
polee ganiii hakuna kitu hapooo kama alitoroka kisa kucheat si angeenda kwao??? kama mwalimu alikuwa nataka utamu si angeshtaki nyumbani au kwa waalimu..??
 
polee ganiii hakuna kitu hapooo kama alitoroka kisa kucheat si angeenda kwao??? kama mwalimu alikuwa nataka utamu si angeshtaki nyumbani au kwa waalimu..??
Kwani hii ni ipi? Au nimeqoute uzi tofauti...
 
Shida inaweza kuwa nini sasa?
Shida ni saikolojiko zaidi..huyo binti ana matatizo ya kisaikolojia maybe alishabakwa zamani..hyo inaweza muharibia mustakabali wa maisha yake ktk mahusiano kabisaa..nimeshakutana na ishu za hivi mara nyingi...lazima kuna dark past amuulize vzr..
 
Ndo naelekea kufny hvo..yaan mpk naanzisha thread mkuu yamenishinda..na anazd kniomba msamaha..kidume sielewi kbsa..maana misamaha ashaniomba kama 50 lkn sioni matokeo yyte
Mkuu mwanamke hiyo mimba ni mpaka aamue kubeba sasa, kama hataki kuzaa na wewe unaweza kujaribu kila njia kumbe mwenzako kila miezi mitatu anajidunga sindano ya kuzuia mimba na hujui. Suala la kumzalisha kama alishajihamia nalo na usbakutana naue hadi hujafanikiwa sidhani kama litazaa matunda.

Mwanamke wa umri wa mkeo ukiona kabeba mimba kaitaka mwenyewe, na hakuna kitu cha bahati mbaya.
 
Kwnz kusalimia mtihani..pia hata nkiumwa..hana cha kunijulia hali wala nini..na mambo mengi mkuu..na mbaya zaid mpk mama yang hcho kiburi anamuonyeshea..pia akiwa anaenda sehem..mama ake anakuja tu kwangu anamchukua..badae ndo ananiaga anatoka..hali ya kua ashatoka kitambo..
Sasa umefuga maradhi yamekuwa janga, hawezi kurudi kwenye mstari abadani
 
Shida ni saikolojiko zaidi..huyo binti ana matatizo ya kisaikolojia maybe alishabakwa zamani..hyo inaweza muharibia mustakabali wa maisha yake ktk mahusiano kabisaa..nimeshakutana na ishu za hivi mara nyingi...lazima kuna dark past amuulize vzr..
Kwa mujibu wa mtoa mada amekuwa akimuuliza Mara kwa Mara lakini hapewi majibu hata kama issue ni hiyo kwanini ashindwa hata kujali Afya ya mtoa mada kama alivyosema alivyomwambia anaumwa lakini bibie hakuonekana kuguswa kabisa
 
Habari wakuu, mke wangu toka nimuoe sina chochote nachostahili kufanyiwa kama mume.

Heshima 0
Tabia 0
Kununa nuna A+

Kusex mpaka nianze mimi, nisipoanza ngoma 0-0 na since nioe mwezi wa 8 mwaka jana sijasex nae zaidi ya mara 5 na zote naanza mimi kudai penzi though no Mutual Connection.

Mke meseji ninamtumia saa 1 asubuhi kujibiwa saa 10 jioni. Since day 1 ya ndoa yangu sijapata raha yoyote ile zaidi ya karaha tu. Leo nimeamua kumtolea uvivu.

WAKUU TUSIKURUPUKE KUOA.

Naomba namba yake mkuu
 
Kwa mujibu wa mtoa mada amekuwa akimuuliza Mara kwa Mara lakini hapewi majibu hata kama issue ni hiyo kwanini ashindwa hata kujali Afya ya mtoa mada kama alivyosema alivyomwambia anaumwa lakini bibie hakuonekana kuguswa kabisa
Ana chuki iliyofichwa kwny sura nzuri moyo wake hauna upendo umekufa ganzi ...ana chuki na wanaume...ana chuki na tendo..kuna kitu kizito nyuma huko...huyo akae nae mbali anaweza kumuua..
 
Back
Top Bottom