Mkuu aliniaga anaend kwa baba ake kusalmia..kila siku kusalmia tu..mie namkubalia tu..na ndo maana tunachat sbb yupo kwa baba ake..tushakaa chini mkuu zaidi ya mara 30..ndo kwnz tbia inazd kua mbaya tu..
Mkuu tatizo unalo wewe binafsi kwa sababu nina uhakika wa asilimia zote kuwa hiyo tabia haikuja kwa ghafla Ila uliilea mwenyewe ,
kwa kuwa uliidharau mipaka yako kama mwanaume na kukosa kusimamia nafasi yako kwenye mahusiano hadi ukuvumilia dharau na makosa yake kwa kuhisi unampenda. Bhasi imeshageuka tabia
Umekosa sauti ya mamlaka kwa jinsi unavyolalamika na kujishusha kupitiliza kiasi anakuchukulia poa..
Shtuka kaka, tengeneza thamani yako iwe ndani au nje ya ndoa yako. Acha kuwa desperate na kutaka kujaliwa na upendo ambao hupewi.
Acha kubembeleza, acha kujilizaliza..
Anza kujipenda wewe sasa, focus na kutafuta hela, vaa vizuri, kula vizuri na uanze kufuatilia vitu vinavyokupa furaha
.
Anachokubania usimuombe na uanze kucheza muziki wake anavyotaka. Kuwa adimu, kuwa wa nadra, usiwe cheap cheap , jipandishe thamani yako mkuu...
Mpe muda wa kukumiss, mpe nafasi ya kuona kuwa huko nje kuna watu wanatamani kuziba nafasi yake... Asiposhtuka bhasi hapo huna chako unless una udhaifu ambao anautumia kama fimbo ya kukuadhibia ndio maana hufurukuti