Wakuu, mke wangu nimemchoka

Wakuu, mke wangu nimemchoka

Mkuu hta uchumba alikua ypo hvihvi..ila akanipromise nkimuoa atabdlka..ndo maana nasema nilikurupuka kuoa...na ktk ndoa nashangaa ndo zimezidi tabia mbovu..Na kuhsu Red Card mkuu ningeshaitoa toka siku 7 za mwanzo wanm ndoa yetu mwaka jana..maana aliyoyfny siyasahau kbs..
Katika uislamu ndoa ni mjumuiko wa mahaba na rehema [sura ya 13 kama sikosei]. Mahaba kama hakuna inaruhusiwa ndoa kuvunjwa au mke kujivua kwenye ndoa kama alivyoamriwa Zaid bin Haarith kumtaliki Zaynab ambaye alitimiza haki zote za mke kwa mumewe lakini moyoni akawa hana mahaba kwa mume wake.
Janga la leo haki unanyimwa na mahaba hakuna..,

Kama ukweli ni huo, hakuna haja ya kutaka ushauri, unaweza kuambiwa uendelee kuishi naye. Sasa inategemea umefunga ndoa ya dini gani na kanuni zikoje za talaka...
 
Muslim.
 
Kaka umeoa mmachame hahahaa joking

Kama hujawahi mkosea, usaliti, au conflict iliyopo kati yenu resolve. Myajenge.

Kama ulishawahi ongea nae bado habadiliki, then hizo chat iwe warning ya mwisho.
Asipo badilika kutoka hapo, mtolee vitu nje au mrudishe kwao

Ila hata siku moja dont let a woman disrespect you, uki allow atakuwa anakufanyia hivyo for the rest of your life
Hamna ndoa hapo. Mke anaonekana ana kiburi. Mwanaume ukituma message hizo, mke hakupaswa kuendelea kujibu bali alipaswa kupiga simu hapo hapo
 
kwann mkuu..mwandiko una nini
Hajielewi mkuu
47694805_271654230194098_8236158820375342161_n.jpg
 
Kaka umeoa mmachame hahahaa joking

Kama hujawahi mkosea, usaliti, au conflict iliyopo kati yenu resolve. Myajenge.

Kama ulishawahi ongea nae bado habadiliki, then hizo chat iwe warning ya mwisho.
Asipo badilika kutoka hapo, mtolee vitu nje au mrudishe kwao

Ila hata siku moja dont let a woman disrespect you, uki allow atakuwa anakufanyia hivyo for the rest of your life
Machame ntakaa nao mbali sanani hatari
 
We nae acha kujilalamisha,kama umeongea nae habadiliki wa nini sasa utapoteza muda na kushindwa kuwa na maisha,hakuna ndoa isio na furaha amani kukawa na maendeleo,achana nae halafu inaonekana Dem ulimpenda sana wewe ndo maana ankuburuza,ushasema tabia zake toka awali eti akakuahidi Ukimuona atabadilika hakuna hio,Yaani ndio atazidi kifupi Dem hajawahi kupenda ana mtu wake anaonekana alikuwa na wewe kupoza machungu tu,ni dhulma kubwa mtu kujitendea,uzuzu na kukosa akili kupenda asie kupenda,Mwanadamu mwenye kujitambua,humpenda anampenda na kuachana na asie mpenda tafuta anaekupenda na kukujali,wake wema wapo kama walivyo wake wabaya.omba Mungu akupe mke mwema atakae kuwa tulizo la moyo wako na kukupa faraja,atakae kupenda kukuheshimu kukuthamini kukujali nawe umfanyie hivyo hivyo Wallah uta enjoy.
 
Back
Top Bottom