Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 18,200
- 27,251
New York ipo ulaya??Angalia ulaya ilivyo yuotubeView attachment 1681635View attachment 1681636View attachment 1681637
Sent using Jamii Forums mobile app

Wapi kasema US?? Au US ipo ulaya?umewahi kufika US ? mbona ungeweza kusifia tu bila kulinganisha na ungeeleweka !
Hebu soma heading kabla ya kukurupukaWapi kasema US?? Au US ipo ulaya?
Yule ana hasira za kukosakaziSawa ntamcheki
Mkuu umepiga Sindano kwenye uti wa mgongo wa Uzi huu. Watz wengi bado washamba wanamawazo ya ulaya ile hakuna bismark enzi za majimaji war.Ulaya imebaki jina, China, Japan, South Korea wamejenga vizuri sana ulaya watasubiri kidogo mpaka akili ziwarudie na Tanzania tukiweka juhudi tunawapita sana ndani ya maka 20
Nairobi nimeenda sana. Hapafikii ninachokisema. Acha wivu na nchi yako na mapendeleo yakeDah!
Natamani ungeena hapo Nairobi tu siku moja.
Ulaya mbali sana, utachoka.
Ukweli mchungu;
Kwa maendeleo ya vitu,
Tuna safari ya angalau miaka 100 kuikuta Ulaya ya sasa,-wao wakiwa wamesimama.
Chakata hilo.
Dar es salaam ya sàsa ni Network ya 1880Tulizoea zamani mtu akienda Ulaya atalazimisha atafute angle ili apige Picha background imtambulishe hayuko Tanzania.
Jana baada ya miezi kama tisa hivi kukaa upande mmoja wa jiji LA DSM bila kuzunguka niliachwa mdomo wazi.
1: Kuna Majengo Mapya makubwa mazuri hatari. Mfano mitaa ya Makumbusho Victoria yaani hadi unatabasamu tu kwa jinsi miundombinu na design zilivyosambazwa pale. Lililoniacha hoi ni jengo moja hivi maeneo ya palm beach. Ile kitu ni matata sana. What a design!
2: Kale kadaraja ka masaki baharini mwanzoni nilidhani ni vile kama vya Miti chini kwa chini Jana nimeshangaa kunastructure za hatari wanazimount pale kumbe ni kitu hatari Sana.
3: Nikapita Ubungo Simu2000 na stand ya mabasi napo kuna road zimesukwa pale ndani ya muda mfupi utapenda. Naona wanajiandaa kuweka taa za barabarani ukiongezea Interchange. Alafu ukichungulia kuelekea Mlimani city aisee pako Bomba sana.
4: Nikachungulia CCBRT, hadi nikadhani nimekosea njia. Kuna zinga la hospitali. Yaani Majengo mengi Mapya mageti mengi ya kuingilia hawajaifungua. Hadi nikajiuliza kwa nini hata Mloganzila ilijengwa. Maana kile nilichokiona Wenda hata Muhimbili inaweza isifue dafu licha ya Eneo kuwa dogo.
Nikapita Mbagala, kuna structure flani barabarani zinainuliwa pale nadhani ni kwa ajili ya mwendokasi au sijui ni daraja basi napo patakuwa poa sana.
Kimsingi nina mpango wa kwenda nchi kadhaa Ulaya lakini nikifika nitapiga Picha kwenye mabarafu tu ila Majengo kama background sidhani maana hicho nilichokiona Jana hata Ulaya hakuna.
Msema Kweli ni mapenzi wa Mungu. Natamani kupata Picha ya aerial views current ya maeneo mengi ya jiji.
Miaka hiyo hata sidhani kama walikuwa na Umeme.Dar es salaam ya sàsa ni Network ya 1880
Kumbe kipa katokaMiaka hiyo hata sidhani kama walikuwa na Umeme.
Wazungu walikuwa wanatumia koroboi.
Nicola Tesla kutoka Yugoslavia ndio aliwasaidia hao
Wewe ni msukuma?Ulaya hata sasa hivi nikitoka nafika Mkuu.
Googlemap, hadi video za mitaa zipo.
Pachovu sana Mkuu. Majengo mengi ni ya kizamani
Ungekuwa umefika hata Jburg au Pretoria ungegundua kuwa ulichoandika siyo kweli.Tulizoea zamani mtu akienda Ulaya atalazimisha atafute angle ili apige Picha background imtambulishe hayuko Tanzania.
Jana baada ya miezi kama tisa hivi kukaa upande mmoja wa jiji LA DSM bila kuzunguka niliachwa mdomo wazi.
1: Kuna Majengo Mapya makubwa mazuri hatari. Mfano mitaa ya Makumbusho Victoria yaani hadi unatabasamu tu kwa jinsi miundombinu na design zilivyosambazwa pale. Lililoniacha hoi ni jengo moja hivi maeneo ya palm beach. Ile kitu ni matata sana. What a design!
2: Kale kadaraja ka masaki baharini mwanzoni nilidhani ni vile kama vya Miti chini kwa chini Jana nimeshangaa kunastructure za hatari wanazimount pale kumbe ni kitu hatari Sana.
3: Nikapita Ubungo Simu2000 na stand ya mabasi napo kuna road zimesukwa pale ndani ya muda mfupi utapenda. Naona wanajiandaa kuweka taa za barabarani ukiongezea Interchange. Alafu ukichungulia kuelekea Mlimani city aisee pako Bomba sana.
4: Nikachungulia CCBRT, hadi nikadhani nimekosea njia. Kuna zinga la hospitali. Yaani Majengo mengi Mapya mageti mengi ya kuingilia hawajaifungua. Hadi nikajiuliza kwa nini hata Mloganzila ilijengwa. Maana kile nilichokiona Wenda hata Muhimbili inaweza isifue dafu licha ya Eneo kuwa dogo.
Nikapita Mbagala, kuna structure flani barabarani zinainuliwa pale nadhani ni kwa ajili ya mwendokasi au sijui ni daraja basi napo patakuwa poa sana.
Kimsingi nina mpango wa kwenda nchi kadhaa Ulaya lakini nikifika nitapiga Picha kwenye mabarafu tu ila Majengo kama background sidhani maana hicho nilichokiona Jana hata Ulaya hakuna.
Msema Kweli ni mapenzi wa Mungu. Natamani kupata Picha ya aerial views current ya maeneo mengi ya jiji.
Uko umeenda mbali sana zamani ilikuwa tukienda ulaya lazima urudi na TV au sabufa mambo yamebadilikaaTulizoea zamani mtu akienda Ulaya atalazimisha atafute angle ili apige Picha background imtambulishe hayuko Tanzania.
Jana baada ya miezi kama tisa hivi kukaa upande mmoja wa jiji LA DSM bila kuzunguka niliachwa mdomo wazi.
1: Kuna Majengo Mapya makubwa mazuri hatari. Mfano mitaa ya Makumbusho Victoria yaani hadi unatabasamu tu kwa jinsi miundombinu na design zilivyosambazwa pale. Lililoniacha hoi ni jengo moja hivi maeneo ya palm beach. Ile kitu ni matata sana. What a design!
2: Kale kadaraja ka masaki baharini mwanzoni nilidhani ni vile kama vya Miti chini kwa chini Jana nimeshangaa kunastructure za hatari wanazimount pale kumbe ni kitu hatari Sana.
3: Nikapita Ubungo Simu2000 na stand ya mabasi napo kuna road zimesukwa pale ndani ya muda mfupi utapenda. Naona wanajiandaa kuweka taa za barabarani ukiongezea Interchange. Alafu ukichungulia kuelekea Mlimani city aisee pako Bomba sana.
4: Nikachungulia CCBRT, hadi nikadhani nimekosea njia. Kuna zinga la hospitali. Yaani Majengo mengi Mapya mageti mengi ya kuingilia hawajaifungua. Hadi nikajiuliza kwa nini hata Mloganzila ilijengwa. Maana kile nilichokiona Wenda hata Muhimbili inaweza isifue dafu licha ya Eneo kuwa dogo.
Nikapita Mbagala, kuna structure flani barabarani zinainuliwa pale nadhani ni kwa ajili ya mwendokasi au sijui ni daraja basi napo patakuwa poa sana.
Kimsingi nina mpango wa kwenda nchi kadhaa Ulaya lakini nikifika nitapiga Picha kwenye mabarafu tu ila Majengo kama background sidhani maana hicho nilichokiona Jana hata Ulaya hakuna.
Msema Kweli ni mapenzi wa Mungu. Natamani kupata Picha ya aerial views current ya maeneo mengi ya jiji.
Miaka hiyo hata sidhani kama walikuwa na Umeme.