NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,286
- 24,002
matunduizi jinsi ulivyoiwasilisha mada yako na jinsi unavyowajibu masnitch uko vizuri sana mkuu,kama kwenye soka basi wewe ni Ronadinho Gaucho.
Mkuu ni hadithi kama ya Kima wa Usukumani kwenye hadithi za bibi zetu. Kima aliulizwa kwanini macho yako ni mekundu hivyo akasema shauri ya Pwani (Dar) alipoulizwa tena ulishawahi kufika Pwani akasema huwa wananisimulia!Ulaya ulishawahi kufika?
Hoja yako na Faraja unayompa Mkuu hapo ukiiangalia kwa kuikurupukia utaona ni bonge ya hoja. Ika ukiipima na carbon 14 utagundua inaumri wa kipindi hicho hicho wakati wao jamaa zako wanadanganyana kuhusu kima. Bila aibu karne ya 21 unataka mtu afike ulaya ndio aisemee. Hahahaha . hayo mambo yalikuwa Kabla ya 1990Mkuu ni hadithi kama ya Kima wa Usukumani kwenye hadithi za bibi zetu. Kima aliulizwa kwanini macho yako ni mekundu hivyo akasema shauri ya Pwani (Dar) alipoulizwa tena ulishawahi kufika Pwani akasema huwa wananisimulia! Ndiyo huyo jamaa wa kufananisha Dar na Ulaya wakati hajawahi kufika bali anasikia kwenye hadithi za akina Le Mutuz! Ulaya tusifananishe na vitu vya kijinga!
ulichoona pale uhasibu njia ya mbagala pale inajengwa flyover.Tulizoea zamani mtu akienda Ulaya atalazimisha atafute angle ili apige Picha background imtambulishe hayuko Tanzania.
Jana baada ya miezi kama tisw hivi kukaa upande mmoja wa jiji LA DSM bila kuzunguka niliachwa mdomo wazi...
Hayo ndiyo hatuyataki.Kupiga pesa sio uzalendo,Sisi tunavuta mbele wengine mna vuta nyumaHii nchi hela nyingi Sana Inaenda kwenye miundo mbinu hasa barabara Kwa Gharama za ufukara wa wananchi...... Kuna jamaa angu engineer huwa namwambia msipopiga hela utawala huu, utawala mwingine ukija mtalia na kusaga meno
Good. Labda kwa sababu waliahidi 11 mpyaulichoona pale uhasibu njia ya mbagala pale inajengwa flyover.
ajabu serikali sasa hivi imeamua kujenga flyover mbili kimya kimya, kuna flyover hiyo ya uhasibu njia ya kwenda mbagala, halafu kuna nyengine pale njia panda ya chang'ombe.
watu watashangaa zunakamilika ila seriakali haijazungumzia kabisa kuwa kuwa miradi miwili ya flyover nyengine
Tuache gubu my dear.Nchi isiyotengeneza hata toothpicks, hayo maduka yenu mtayajaza mihogo?
Umekuja Dar lini mkuu kutoka huko ulipotoka ?Tulizoea zamani mtu akienda Ulaya atalazimisha atafute angle ili apige Picha background imtambulishe hayuko Tanzania....
Umekuja Dar lini mkuu kutoka huko ulipotoka ?
1st mkuu hio app ipo muda sana,Nalinganisha Picha zawadau wangu walio Ulaya wanazopiga kwa kutumika nguvu nyingi kutafuta background zenye mvuto wa kimiundombinu naona hata huku ni zaidi..
Ulaya imebaki jina, China, Japan, South Korea wamejenga vizuri sana ulaya watasubiri kidogo mpaka akili ziwarudie na Tanzania tukiweka juhudi tunawapita sana ndani ya maka 20Tulizoea zamani mtu akienda Ulaya atalazimisha atafute angle ili apige Picha background imtambulishe hayuko Tanzania....
Mkuu umeuwa...Hii nchi hela nyingi Sana Inaenda kwenye miundo mbinu hasa barabara Kwa Gharama za ufukara wa wananchi...... Kuna jamaa angu engineer huwa namwambia msipopiga hela utawala huu, utawala mwingine ukija mtalia na kusaga meno
Lufutaminofumgagagagigikoko waUlaya hata sasa hivi nikitoka nafika Mkuu.
Googlemap, hadi video za mitaa zipo.
Pachovu sana Mkuu. Majengo mengi ni ya kizamani
umewahi kufika US ? mbona ungeweza kusifia tu bila kulinganisha na ungeeleweka !Tulizoea zamani mtu akienda Ulaya atalazimisha atafute angle ili apige Picha background imtambulishe hayuko Tanzania....