Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 45,091
- 111,709
- Thread starter
- #321
Amini kwamba mi siogopi ke, niogope ke kwani sidindi?😂Uongooo.
Amini kwamba mi siogopi ke, niogope ke kwani sidindi?😂Uongooo.
Kivipi mkuu sijakuelewa unamaanisha kuna muda ambao sio sahihi kupima?
Sikuwa nnafahamu hili basi itabidi afanye vipimo muda huo wa asubuhi.Muda mzuri ni asubuhi mkojo wa kwanza. Na sababu yake kubwa ni hii👇👇👇👇👇👇👇👇
The most convenient time to take a pregnancy test is typically in the morning, using your first urine of the day. This is because the hormone hCG (human chorionic gonadotropin), which pregnancy tests detect, is usually more concentrated in the morning. However, you can still get accurate results at other times of the day, especially with modern, highly sensitive tests.
Sina utaalamu.Kivipi mkuu sijakuelewa unamaanisha kuna muda ambao sio sahihi kupima?
Uongoo, 😂😂😂😂Amini kwamba mi siogopi ke, niogope ke kwani sidindi?😂
Sawa amini unavyoaminiUongoo, 😂😂😂😂
Ok mkuu nimepata ufafanuzi juu ya hilo.Sina utaalamu.
ILa nilikuwa najua inapimwa asubuhi,
UongoooSawa amini unavyoamini
Hem tulia.Mara moja tu ila leo nikitoka kibaruani nataka apime tena.
Binafsi sina hofu yeyote mkuu nipo tayari kwa loloteHem tulia.
Umepanick.mno.
Tuliza kichwa.
Kama mimba ipo ipo tu.
Kama haipo haipo.
Yani umepanick utafkr mimba ni hukumu ya kifo..relaaaaax.
Kwanza unapaswa kumshukuru Mungu angalau una hizi worries..
Ipokee as a blessing.
Hii panicking unayoonesha hapa kwenye thread Kama ndo unamuonesha huyo mwenzio, unazidi kuharibu.
Tuliiiiza kichwa.
Ndio Uanaume
KwendaaaUongooo
okBinafsi sina hofu yeyote mkuu nipo tayari kwa lolote
Uongooo!!Kwendaaa
Unajuaje ni wakike mkuu?mimba ipo tena mtoto wa kike 80%
Hongera kwa kutengeneza mtoto, bora wewe kuliko mwenzio Jux asiye na uwezo wa kushikisha mimba wanawake kutwa kucha kuvaa hereni na lipstick tu kushindana nao.Kabla hatujafikia uamuzi wa kwenda kupima naomba kufahamu machache kwa wajuvi wa mambo.
Huyu binti kachelewa kuingia hedhi, alitegemea kuingia hedhi kuanzia tarehe 20 lakini hadi sasa hamna dalili.
22 March ndio ilikuwa tarehe ya kuanza hedhi yake ya mwisho, kati ya tarehe 1 au 2 april tulikutana.
Je kuna uwezekano amepata mimba au ni kuchelewa tu kwa hedhi? Hana dalili nyingine yeyote ya mimba ukitoa hiyo ya kuchelewa kuingia hedhi.
Pia naomba elimu kuhusu kalenda ya uzazi wa mpango.
View attachment 3315912
Hakuna hata moja kati ya hayoMaana ya hayo majina? Wako anaitwa Gian/Gianna?