Wakuu hapa kuna mimba?

Wakuu hapa kuna mimba?

Kabla hatujafikia uamuzi wa kwenda kupima naomba kufahamu machache kwa wajuvi wa mambo.

Huyu binti kachelewa kuingia hedhi, alitegemea kuingia hedhi kuanzia tarehe 20 lakini hadi sasa hamna dalili.

22 March ndio ilikuwa tarehe ya kuanza hedhi yake ya mwisho, kati ya tarehe 1 au 2 april tulikutana.

Je kuna uwezekano amepata mimba au ni kuchelewa tu kwa hedhi? Hana dalili nyingine yeyote ya mimba ukitoa hiyo ya kuchelewa kuingia hedhi.

Pia naomba elimu kuhusu kalenda ya uzazi wa mpango.
View attachment 3315912
Hongera sana bro! Unaenda kuwa baba sasa.
 
kutokea hiyo tarehe 22 march Hadi 1 au 2 April ni siku km kumi 12 ivi kwa hiyo ni wazi kabisa shemeji kabeba mimba tiari kikubwa Fanya maamuzi yako mwenyewe!
 
Hana Mimba, Kwa maana kama aliaanza tare 22 inamaana alimaliza hedhi yake tare 27 .

Kuanzia tare 28 march mpaka tare 2 April Kuna siku sita ambazo ni safe, kuanzia tare 3 mpaka 13 ilikua ndio danger zone, 14 mpaka 19 safe, kwahio hedhi nyingine angeingia kuanzia tare 20/22. Angalia usiwe umepigwa.
 
Hongera ntapokea nikithibitisha kuwa n ujauzito kweli
kutokea hiyo tarehe 22 march Hadi 1 au 2 April ni siku km kumi 12 ivi kwa hiyo ni wazi kabisa shemeji kabeba mimba tiari kikubwa Fanya maamuzi yako mwenyewe!
Kama ni mimba maamuzi ni kuyakubali majukumu tu hakuna namna nyingine.
Hana Mimba,
Mwenyewe nahisi hivyo pia ni hofu yake tu.
 
Kama March 22 ndio ilikua tarehe yake ya mwisho ya period na mkakutana tarehe 1 ama 2, maana yake mmekutana nae siku ya 14 ama 15 baada ya period, hapa likelihood ama chances ya kupata mimba zaidi ya 90%.

Hongera sana baba kijacho.
22 march ilikuwa trh yake ya kwnz sio ya mwisho! soma vzr mbona unahaaka kiongozi au basiiii tu
 
ushawaza jina hata kabla haijajulikana n mimba?
Jina tu mpaka na namna mtakavyokuwa mnahangaika akilia usiku watoto wakiamua leo hamlali ni hamlali kweli!.
ukija kulala we muda wa kazini umefika hiyo ndo inatwa utamu utamuni!.. Halafu ukirudi anakupokea kwa tabasamu anajua baba imerudi naleo naisumbua hii mutu mpaka ikome...🤣
 
27
Hana Mimba, Kwa maana kama aliaanza tare 22 inamaana alimaliza hedhi yake tare 27 .

Kuanzia tare 28 march mpaka tare 2 April Kuna siku sita ambazo ni safe, kuanzia tare 3 mpaka 13 ilikua ndio danger zone, 14 mpaka 19 safe, kwahio hedhi nyingine angeingia kuanzia tare 20/22. Angalia usiwe umepigwa.

Note: lakini pia inawezekana binti kuingia hedhi mara mbili kabla ya siku 24-28. Kama ana matatizo ya hormones imbalance.

Mimi sio daktari nazungumza kulingana na uzoefu wangu tu.
 
😂 usinitishe mkuu mbona mimi sikuwa nafanya hivyo.
 
27
Hana Mimba, Kwa maana kama aliaanza tare 22 inamaana alimaliza hedhi yake tare 27 .

Kuanzia tare 28 march mpaka tare 2 April Kuna siku sita ambazo ni safe, kuanzia tare 3 mpaka 13 ilikua ndio danger zone, 14 mpaka 19 safe, kwahio hedhi nyingine angeingia kuanzia tare 20/22. Angalia usiwe umepigwa.

Note: lakini pia inawezekana binti kuingia hedhi mara mbili kabla ya siku 24-28. Kama ana matatizo ya hormones imbalance.

Mimi sio daktari nazungumza kulingana na uzoefu wangu tu.
Asante kwa ufafanuzi mkuu, hedhi yake n siku 4 inakoma.
 
Back
Top Bottom