Kelsea
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 14,974
- 35,342
Ila wewe akili yako 😂Mlikulana sikukuu ya wajinga?
Ila wewe akili yako 😂Mlikulana sikukuu ya wajinga?
Hii hatari madamIla wewe akili yako 😂
Hivi huwa n kwaniniJiandae kuchukiwa maana mimba zina kisirani chake, wengi wamekuwa single mama sababu akipata mimba anamchukia sana baba kijacho mara anampenda so kama una hasira unamkataa mazima
TUkupe hongera au pole,UPDATE: Amepima hana mimba wakuu labda kama kipimo kiwe kimedanganya.
Nashukuru kuna kitu nimejifunza.TUkupe hongera au pole,
Yulee alikuwa hapa na shoga ake ntu akibe interested nawewe wanakuja na shoga ake wanaonyesh interest majina yao nimeyasahauYule yupi
TUmia kinga kama huna mpango wa kumzalisha kuna dawa za kunywa mwanaume inazuia usimpe demu mimba for 24 hoursNashukuru kuna kitu nimejifunza.
Hapa hapa jukwaani?Yulee alikuwa hapa na shoga ake ntu akibe interested nawewe wanakuja na shoga ake wanaonyesh interest majina yao nimeyasahau
Manamiaka mingapi?Kabla hatujafikia uamuzi wa kwenda kupima naomba kufahamu machache kwa wajuvi wa mambo.
Huyu binti kachelewa kuingia hedhi, alitegemea kuingia hedhi kuanzia tarehe 20 lakini hadi sasa hamna dalili.
22 March ndio ilikuwa tarehe ya kuanza hedhi yake ya mwisho, kati ya tarehe 1 au 2 april tulikutana.
Je kuna uwezekano amepata mimba au ni kuchelewa tu kwa hedhi? Hana dalili nyingine yeyote ya mimba ukitoa hiyo ya kuchelewa kuingia hedhi.
Pia naomba elimu kuhusu kalenda ya uzazi wa mpango.
View attachment 3315912
YesHapa hapa jukwaani?
Ni nani huyo mbona simjui
Baada ya wiki pima tenaUPDATE: Amepima hana mimba wakuu labda kama kipimo kiwe kimedanganya.
Sawa maana hadi sasa bado hajapata hedhi ila joto lake limepanda.Baada ya wiki pima tena
Kila la heriSawa maana hadi sasa bado hajapata hedhi ila joto lake limepanda.
Tena ka baby girl kama alipiga cha mende, kama alipiga doggy cha kwanza kuna possibility ya dumeKama March 22 ndio ilikua tarehe yake ya mwisho ya period na mkakutana tarehe 1 ama 2, maana yake mmekutana nae siku ya 14 ama 15 baada ya period, hapa likelihood ama chances ya kupata mimba zaidi ya 90%.
Hongera sana baba kijacho.


Raha yenu nilipe ada sio 😂Kila la heri
Majibu yakaje tunayoyataka sisi...sio wewe,Amen!! 😂
Ada umeenda miaka mingi sana mbeleRaha yenu nilipe ada sio 😂
Uzuri jf si ipo fresh tu, ukishayavulia nguo maji sharti uyaogeAda umeenda miaka mingi sana mbele
Malengo yetu ya awali ni wewe kulala mtoto akiamua,tofauti na hapo mkeshe wote usiku mzima