Wakuu hapa kuna mimba?

Wakuu hapa kuna mimba?

Baba kijacho 😹
Mtoto akiwa wa kike aitwe Lamomy..!!

Yani wakati wenzenu tunajadili “No reforms, no election” nyie mnapeana penzi moto moto kweli? 😹
lina maana gani hilo jirani.

Huku ni no mimba no kuolewa 😂
 
Kama March 22 ndio ilikua tarehe yake ya mwisho ya period na mkakutana tarehe 1 ama 2, maana yake mmekutana nae siku ya 14 ama 15 baada ya period, hapa likelihood ama chances ya kupata mimba zaidi ya 90%.

Hongera sana baba kijacho.
Piga hesabu vizuri
 
Mkuu nauza mafuta ya nazi kwa watoto na nina Shea butter kwa ajili ya mama kija's kupaka kwenye tumbo Ili wasipate stretch marks najua Soo unaenda kuwa mteja wangu
 
Back
Top Bottom