Wakubwa naombeni kazi nitakufa

Wakubwa naombeni kazi nitakufa

Nimeona hapo sasa nakuona maana nilikua naona umebonyeza like ila nikiangalia sikuoni mpaka ikabidi nitulie nijiulize mjinga gani ananifanyia michezo ya kihuni ikabidi nisogee nizoom jina nikaona umeondoa avatar
OK usijali nimesikiliza maoni yako bwashee
 
Mkuu jaribu kuwashirikisha watu wako wa karibu, marafi au ndugu pasi kuona haya.

Ujue ni rahisi sana kuomba msaada jf kwa fake id, ni simple sana. Utajitetea, utaongeq madhaifu yako ya kweli na uongo ila ni ngumu mtu kukuamini na kukupa kazi ambayo inaweza sogeza life mbele.

Ila wale watu wa karibu au mliowahi kua karibu kipindi cha nyuma wanakujua vizuri, wanaweza kukuamini kirahisi na kukutaftia mchongo kulingana na uhitaji wako.

Zamani hata mimi nilidhani naweza saka job bila kushirikisha mtu ninaemjua, ila nikaja kupata mchongo kwa mtu aa karibu ambae nilimshirikisha mara moja tu na pap akanipa dili.

Ndugu, jamaa na rafiki zetu hudhani tuko vizuri mpaka tuwaambie kua hatuko sawa, sometimes tunawahitaji.
 
Back
Top Bottom