Wakubwa naombeni kazi nitakufa

Wakubwa naombeni kazi nitakufa

Ila kitu kingine Yote mema inaonyesha una ID nyingine, maana hiyo kabla na baada ya hapo sikuiona popote humu. Usije kuwa hii ID unaifanyia michongo.

Unajua, sikukubali haraka mpaka uliposema hata pesa ya kula siku hiyo huna. Kama una ID nyingine acha michezo, kama ni hii tu huwa huitumii sawa, Mungu anisamehe kukuwazia tofauti. Nakutakia mafanikio, unaloomba likawe.
Hivi humu kuna watu wanahitaji msaada kweli mi niliwahi kumsaidiaga kenge mmoja yule mtu baada ya hapo akabadili na ID kabisa ila alinipa funzo kubwa sana.
 
Hakuna neno nilisha tamka la kupenda humu , hili nakua makini kisa kutoa pesa ambazo sina na sitakaa niwe nazo🤣
unahisi vijana wanawaza hayo sasa😃😅😅😅

Kuna siku nilimskia kijana anasema kuna mdada kamwomba amkopeshe 50k akamwambia aifate geto,. nikamuuliza sasa ukishamkula hiyo hela atakulipa kweli??

Vijana hawawazi hata kama kuna kufa maskini
 
Back
Top Bottom