Wakubwa naombeni kazi nitakufa

Wakubwa naombeni kazi nitakufa

unahisi vijana wanawaza hayo sasa😃😅😅😅

Kuna siku nilimskia kijana anasema kuna mdada kamwomba amkopeshe 50k akamwambia aifate geto,. nikamuuliza sasa ukishamkula hiyo hela atakulipa kweli??

Vijana hawawazi hata kama kuna kufa maskini
Naogopa Sana kesho hasa hasa sisi ambao tumejitoa kimasomaso kutumia taaluma na ELIMU zetu kutupeleka nchi ya ahadi

Whether or not vyovyote vili siwezi ikimbia familia ya Jf hapa ni nyumbani
 
Naogopa Sana kesho hasa hasa sisi ambao tumejitoa kimasomaso kutumia taaluma na ELIMU zetu kutupeleka nchi ya ahadi

Whether or not vyovyote vili siwezi ikimbia familia ya Jf hapa ni nyumbani
Yeah mtu yeyote mwenye akili timamu lazima awaze kuhusu kesho,. hatakama unachokipata ni kidogo
Lakini kuna vijana wameweka tamaa mbele kiasi kwamba hawathamini hela mbele ya zinaa
 
Back
Top Bottom