min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 60,372
- 174,727
Kaka umelewa ujueHaya mama nimekuelewa na nimekupenda kuanzia leo wewe ndo mke wangu wa jf....🤣
Kaka umelewa ujueHaya mama nimekuelewa na nimekupenda kuanzia leo wewe ndo mke wangu wa jf....🤣
Tena hebu mpe kazi kijana mwenzako, au mchangie chochote cha kumsukuma, mpaka atakapopata kazi. Pombe haramu tena kumpa tajiri kama wewe ni dhami. 😅Sawa madam naomba nichangie pombe hapa nakula bia ila pesa imekata
mkuu situmii pombe na wala sijawahi kufikiria ilikua ya kulaPesa ya bantu lady ukaifanyia nini bwashee, tusije ajiri wanywa visungura 🤔
Asante sanaPole sana.. Maisha ni kupanda na kushuka.. Jipe ujasiri Mungu atakuvusha.. Nitakucheki
Madam kama sio matusi mimi utajiri niutolee wapi ? Kiufupi tu mimi ni maskini jeuri ambae nakula kwa jasho langu kibingwa sana kwa sababu siamini kwenye kushindwa kwa chochote .Tena hebu mpe kazi kijana mwenzako, au mchangie chochote cha kumsukuma, mpaka atakapopata kazi. Pombe haramu tena kumpa tajiri kama wewe ni dhami. 😅
Hapana nipo sawa situmiagi vilevi mimiKaka umelewa ujue
Mpaka umekua mkubwa wa kuweza kuomba pesa ya kula siku moja humu , hapo mwanzoni ulikua unakula wapi?mkuu situmii pombe na wala sijawahi kufikiria ilikua ya kula
Kawadanganye wanao sinziaHapana nipo sawa situmiagi vilevi mimi
Amina Kaka Mshana Jr Mwenyezi Mungu, atuzidishie sote 🙏Mungu akuzidishie dada
Kumbe umesoma IT, daaHabari wana jamii forum,
niende kwenye mada, nina miaka 29 nilikua ninafanya kazi taasisi binafsi bahati mbaya ofisi yetu ilifungwa.
Baada ya ofisi kusimama nilizidi kupambana kutafuta sehemu nyingine kwa kuhudhuria interview tofauti tofauti lakini sijabahatika kupata.
Humu jamii forum kuna watu wana moyo sana, Nakushukuru sana Bantu Lady uliwahi kunitumia pesa nakushukuru sana Mungu akuzidishie naombeni kazi au connection ya kazi jamani nitakufa.
kwa upande wa professional
System administrator
Database administrator . Kazi yoyote nafanya ninauwezo wa kuadapt.
Namba yangu 0754407408
Bantu Lady
Mshana Jr
uttoh2002
wacha kuharibu cvKawadanganye wanao sinzia
Mambo babyMsaidieni kijana wa watu
poa za kwakoMambo baby
Aje na wazazi wake wote wawili na wawe na miaka tisiniMsaidieni kijana wa watu
Meku hebu mwache mwenzako, maswali kama Bungeni 😅😅😅 huwezi mpa ya siku moja. Pia labda alisema hivyo ili huruma ikushike. Hayo yamepita, tumuombee kazi kijana. Maana tutabaki hapa na lengo halitafikiwa.Mpaka umekua mkubwa wa kuweza kuomba pesa ya kula siku moja humu , hapo mwanzoni ulikua unakula wapi?
Dah😃😃😃,.Aje na wazazi wake wote wawili na wawe na miaka tisini
Naomba afu' mbili Babe...Tena hebu mpe kazi kijana mwenzako, au mchangie chochote cha kumsukuma, mpaka atakapopata kazi. Pombe haramu tena kumpa tajiri kama wewe ni dhami. 😅
🤣🤣🤣🤣Saa zingine kukutetea inakuwa ngumu.Aje na wazazi wake wote wawili na wawe na miaka tisini