uttoh2002
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 19,890
- 38,581
Jamani siamini watu humu wote, kuna mmoja atakosa hata kazi ya kujishikiza. Humu tu kama ndugu, ajitokeze mmoja amshike mkono kijana. Mwenyezi Mungu atamlipa zadi, ndiyo dhawabu zenyewe hizi.
Mambo ni taratibu na kufahamiana kabla ya kuongea sana, watu wengine sio wakweli kwa hiyo haifanywi speed