Wakubwa naombeni kazi nitakufa

Wakubwa naombeni kazi nitakufa

Ila kitu kingine Yote mema inaonyesha una ID nyingine, maana hiyo kabla na baada ya hapo sikuiona popote humu. Usije kuwa hii ID unaifanyia michongo.

Unajua, sikukubali haraka mpaka uliposema hata pesa ya kula siku hiyo huna. Kama una ID nyingine acha michezo, kama ni hii tu huwa huitumii sawa, Mungu anisamehe kukuwazia tofauti. Nakutakia mafanikio, unaloomba likawe.
hapana sina mchezo wowote wa kutafuta hela ya bure humu, kipindi kile nilikua bado nipo kazini japo Mambo yalikua yashaanza kuyumba. na sijawahi pokea hela yoyote humu. Nimekutag kama appreciation
 
Eti Pesa ya bantu lady ndio reference ya kuombea pesa na kazi
Kuna skills ndogo ndogooo za muhim sana vijana wengi wanakosaa. Usitegemee kupewa kazi kwa kuonewa huruma juu ya shida zako. Wapo wenye shida kuzid. Weka sifa zako,na eleza value you think you will bring, uza hizo watu wakiangalia hizo watakua wanakulinganisha na post walizo naO kama zipo.

Ila ukilia lia shida, ndio hiv, wabantu watakupa hela kwasababu wamekuonea huruma, then what??????
 
Meku hebu mwache mwenzako, maswali kama Bungeni 😅😅😅 huwezi mpa ya siku moja. Pia labda alisema hivyo ili huruma ikushike. Hayo yamepita, tumuombee kazi kijana. Maana tutabaki hapa na lengo halitafikiwa.
Kijana apate kazi tu , kina Tlaatlaah na wenzake tuliwaombea kazi tumekuja ambulia matusi baada ya kuwakonecti kwenye waya wa buku saba saba za mama🤔
 
hapana sina mchezo wowote wa kutafuta hela ya bure humu, kipindi kile nilikua bado nipo kazini japo Mambo yalikua yashaanza kuyumba. na sijawahi pokea hela yoyote humu. Nimekutag kama appreciation
NIngekushauri, kipindi hiki ambacho huna kazi. Jitahidi uombe kazi yoyote. Nami kwa upande wangu, najaribu kuangalia kama kuna mtu atakuwa na kazi upate. Naelewa kwa kija kuwa huna kazi, usiache kuomba kwa Imani yako. Ulisema uko Dar?
 
Kuna skills ndogo ndogooo za muhim sana vijana wengi wanakosaa. Usitegemee kupewa kazi kwa kuonewa huruma juu ya shida zako. Wapo wenye shida kuzid. Weka sifa zako,na eleza value you think you will bring, uza hizo watu wakiangalia hizo watakua wanakulinganisha na post walizo naO kama zipo.

Ila ukilia lia shida, ndio hiv, wabantu watakupa hela kwasababu wamekuonea huruma, then what??????
sawa mkubwa
 
NIngekushauri, kipindi hiki ambacho huna kazi. Jitahidi uombe kazi yoyote. Nami kwa upande wangu, najaribu kuangalia kama kuna mtu atakuwa na kazi upate. Naelewa kwa kija kuwa huna kazi, usiache kuomba kwa Imani yako. Ulisema uko Dar?
Muulize anaweza kuchomelea mageti au kupasua magogo na Chainsaw?
 
Kazi yoyote nafanya ninauwezo wa kuadapt.
Unapotafuta kazi hiki kipengele hakikisha unakiruka au usikiweke hiki kipengele, wale wanaojaza ajiraportal kule anapopandisha mpaka mavyeti ya Masters wakati ana vyeti vya Diploma na amevipandisha zikitoka kazi za Diploma system linamkataa sababu alishapandisha Cheti cha Masters japokua anacho cheti cha Diploma ila system linamkataa sababu hapo alisema kazi yoyote nafanya
 
Back
Top Bottom