Wakubwa naombeni kazi nitakufa

Wakubwa naombeni kazi nitakufa

Nahisi machawa wa namna hii wanalipwa ghali zaidi 🤔
Hawa mchawa ni noma sana mkuu.

Kabla hujaposti uzi unaopinga SISIEM chawa kasha comment, yaani Uzi unakuta comment badala ya comment kukuta Uzi, hii huwa inafikirisha 🤔.
 
Sijafanya kwa nia mbaya, wewe hujui ya humu ndani. Kanitag hapo, ikitokea tofauti mtaniingiza kuwa nami ni tapeli. Kuna kijana aliomba tumchangie rafiki yake ada. Nikatag watu, ilibaki kidogo nitume, kumbe yule kijana alitaka pesa yeye na mods wakaufuta ule uzi. Humu ni msitu, na sidhani kama atakuwa na shida, akisema ina shida nitafuta, utafuta ulichoniquote. Nimekuelewa.
Ukiona mtu anarudia kuomba ujue ndo tabia yake. Angeishia kuomba kazi tuu ningemwelewa.
 
Habari wana jamii forum,
niende kwenye mada, nina miaka 29 nilikua ninafanya kazi taasisi binafsi bahati mbaya ofisi yetu ilifungwa.
Baada ya ofisi kusimama nilizidi kupambana kutafuta sehemu nyingine kwa kuhudhuria interview tofauti tofauti lakini sijabahatika kupata.
Humu jamii forum kuna watu wana moyo sana, Nakushukuru sana Bantu Lady uliwahi kunitumia pesa nakushukuru sana Mungu akuzidishie naombeni kazi au connection ya kazi jamani nitakufa.
kwa upande wa professional
System administrator
Database administrator . Kazi yoyote nafanya ninauwezo wa kuadapt.
Namba yangu 0754407408
Bantu Lady
Mshana Jr
uttoh2002
Nitumie namba ya Bantu Lady PM una 10k yako.
 
Ingia website ya ajira portal huko maa anamwaga maelfu ya ajira daily.

Pili Ajira za kutumia Nguvu ziko fwaaa mjini katafute.
 
Back
Top Bottom