Wimakatso
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 6,173
- 6,887
Kwamba hata wakitembea uchi bado watakuwa sahihi ila tu ni udhaifu wa mtoa mada?Mkuu, mwanamke Sio chombo cha starehe kwa mwanaume! Ukilifahamu hilo wala mambo ya mavazi ya wanawake hayatakusumbua!
Nachoona hapa udhaifu wako unataka kuwasingizia wanawake!
Mungu amemuumba mwanamke na kuelekezwa ajisitiri kwakuwa mwili wake sio wa kuonekana kwa kila mwanaume bali kwa mwanaume maalumu kwa ajili yake.