sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,408
- 19,034
Dunia inaenda kwa fasheni waislam wamekalia tu mavazi ya zamani,
wapo mabinti wa kiislam wanaiga wenzao wakristo kuvaa vipensi, vimini, suruali, magauni ya kubana, n.k. ila kufanya hivyo ni kumkashifu Mungu katika uislam, shida yote ya nini hii wakati wanaweza kuhamia ukristoni kuvaa watakavyo bila kuwa na hatia ya dhambi ?
Ukristo una raha yake bwana, binti kuvaa kiguo mbele ya baba akikaa mapaja yapo wazi ni fashen na wala sio dhambi, mama kavaa kipensi kinaishia mapajani yupo matembezini na mwanae ni ruksa ukristoni wala sio dhambi.
Hata Makanisani mabinti wapo huru kuvaa watakavyo, enzi hizo kulikuwa na kaushamba ka kuvalisha kanga wanaoingia wamevaa suriali ama sketi fupi ila siku hizi wakristo tumepevuka kiakili tunaenda na fasheni, kwa sasa mtindo unaotamba ni magauni yanayobana na kuchoresha hips, kifua, nyuma na mapaja, na wala halipo tatizo.
Mambo ya agano la kale yalishapitwa na wakati hayana nafasi, agano la kalr lilisisitiza kuvaa kwa kujisitiri, agano la kale lilikataza pombe, agano la kale lilikataza kula punda na mguruwe, agano la kale lilikataza kuchonga nywele na ndevu, agano la kale lilikataza kuvaa hereni, ....hivi vitu vyote vinaruhusiwa kwa sasa