Wakristo kimavazi tunazidi kupotea, Mavazi yaliyoshauriwa kwenye maandiko yamepuuzwa, Pongezi kwa Waislam kuendela kuvaa mavazi yanayositiri

NetMaster

JF-Expert Member
Sep 12, 2022
1,454
4,853
NI MAVAZI AMBAYO MTU HAWEZ KUVAA MBELE YA BABA YAKE MZAZI LAKINI ANAONA NI SAWA MBELE YA BABA MTAKATIFU .!!

instagram (2).jpg

Imeshakuwa kama kawaida sikuhizi wakristo kuhamia rasmi mavazi kulingana na tamaduni za wazungu na sio maandiko, mavazi haya yasiyositiri yamechangia kuleta mmonyoko wa maadili kwa kivuli cha fashioni, nashangaa hata kwenye sherehe za harusi za kikristo imekuwa kama fashen mwanamke kuyaacha nusu uchi matiti yake, mgongo kuwa wazi na vazi lake kumbana maksudi kiunoni ili kulitokeza kalio lake na hips zake.

shereheyako_315969527_653463649849101_2227527765050919737_n.jpg

Ukienda makanisani nako imeshakuwa kama mazoea sasa watu kuzugia sketi na magauni ambayo hayafai, unakuta mdada kavaa kisketi hakivuki magoti yani akikaa tu mapaja wayaona, wengine huja na magauni yanayobana kiasi kwamba hips na makalio ni wazi wazi

instagram (3).jpg

shereheyako_316435495_487244080056601_6164881466071885987_n.jpg

Mungu amemuumba mwanamke na kuelekezwa ajisitiri kwakuwa mwili wake sio wa kuonekana kwa kila mwanaume bali kwa mwanaume maalumu kwa ajili yake.

Ishu kuu sio kupagawisha wanaume bali ni mwanamke kujiheshimu

wao wenyewe wanajishtukia ndo maana wakienda ukweni wanavaa mavazi yanayowasitiri

Mavazi ya kusitiri hayana Dini, Iwe na ukristo ama Uislamu yamewekewa msisitizo lakini inaonekana wazi kabisa wakristo wanapuuza maandiko kwa kuendelea kuyapa thamani mavazi yasiyositiri.

Mimi binafsi ni mkristo nashukuru navyozaliwa haya mambo ya utandawazi wa mavazi yalikuwa bado hayajaathiri wanawake wa kikristo, tangu nizaliwe sijawai kuona mama Yangu katoka nje kavaa suruali (vazi la mwanaume) inayomchresha mapaja, Makalio na hips .... SIJAWAI !!! Ni jambo la kujivunia kwakweli, Hebu vuta picha Mama yako anatok nje vazi limemchora mpododo, steki, mapaja, hips, n.k.

Shida inakuja siku hizi, Suruali, vimini na magauni marefu anayobana yenye mpasuko yamekuwa kama vazi rasmi,, ni kawaida sana hata mtoto kujua ukubwa wa makalio ya mama yake, hips zake, mapaja, n.k. Hii ni aibu sana.

instagram (6).jpg
moculifestyle1_315993587_711097493276649_5734716301878991418_n.jpg

Biblia ilishakataza kuvaa mavazi ya wanaume hizi suruali, kila mtu kapewa free will a kutaka kufanya atakacho lakini ni muhimu kuangalia impact, Binti kavaa jeans imembana imemchora kilakitu, Haya ni majaribu ya wazi wazi kwa wanaume walioumbwa kuyatamani maungo hayo, Na ndio maana hata mwanaume akigeuka ni vile alivyoumbwa luyatamani mango hayo.

shereheyako_316435495_487244080056601_6164881466071885987_n.jpg

Biblia ilishaweka wazi wanawake waae mavazi yanayositiri lakini kinachoendelea ni kinyume, sketi zinazovaliwa zinaishia magotini kuyafanya mapaja yaonekane mwanamke akikaa. Kuna sketi hizi ndefu kama za harusini lakini zimembana sana mwanamke hazina tena heshima maana zinaachia hips wazi wazi bila kusitiri.

shereheyako_315969527_653463649849101_2227527765050919737_n.jpg
 
Attachments

  • instagram (1).jpg
    instagram (1).jpg
    29.3 KB · Views: 14
Hata wakivaa magunia kama wewe ni mtu wa tamaa utawatamani tu. By the way hizi story za sijui ukristo hivi, sijui ukristo vile zimezidi sana humu JF, by the way sisi tunaoufahamu na tuliofundishwa na kuuelewa ukristo hatubabaishwi na thread zenu za kung’ata na kupuliza!
Nategemea kuona thread yako ya kusema umeamua kuhamia upande wa pili soon!😂
 
Hapana,
Mwanamke akivaa nguo zinazomsitiri hata heshima tunampa,

Hata kama binti kaelimika kama anavaa vinguo vya ajabu ajabu wanaume wengi watamani tu kuchovya, wanahofia kwa uvaaji wao kila mtu atatamani kuchovya, akiolewa mara nyingi ni sababu ya mimba,

Mavazi ya kujisitiri ni mojawapo ya vigezo vikuu kwa wife material, kuna baadhi ya maungo inapendeza yaonekane ama yajichore kwa nguo iliyobana chumbani tu
 
Hapana,
Mwanamke akivaa nguo zinazomsitiri hata heshima tunampa, Ila mwanamke kavaa nguo imemchora kila kitu huyo ni wa kunyegeza wanaume tu.

Mungu alishaweka wazi haya mambo , Ni vile wakristo tunapuuza tu.
Mkuu, mwanamke Sio chombo cha starehe kwa mwanaume! Ukilifahamu hilo wala mambo ya mavazi ya wanawake hayatakusumbua!
Nachoona hapa udhaifu wako unataka kuwasingizia wanawake!
 
Kuna vijana wanaobalehe wapo foolish age 14 hadi 20 hawa wakiona tu umbo limejichora wanapandwa hamu..

Mungu huwezi kumkosoa alivyosema wanawake wajisitiri aliona mbali sana, HUWEZI!!
 
wale wanaobaka mbuzi
Hao wengi ni matokeo ya masharti ya waganga ama ni matambiko ya mizimu michafu, kuitoa nafsi kafara, n.k.

Wapo hata wanaopewa masharti wabake vitoto vichanga.

hawa si watu wa kawaida, ulimwengu wao upo zaidi falme za mizimu
 
View attachment 2427340

Mavazi ya kusitiri hayana Dini, Iwe na ukristo ama Uislamu yamewekewa msisitizo lakini inaonekana wazi kabisa wakristo wanapuuza maandiko kwa kuendelea kuyapa thamani mavazi yasiyositiri.

View attachment 2427341

Mimi binafsi ni mkristo nashukuru navyozaliwa haya mambo ya utandawazi wa mavazi yalikuwa bado hayajaathiri wanawake wa kikristo, tangu nizaliwe sijawai kuona mama Yangu katoka nje kavaa suruali (vazi la mwanaume) inayomchresha mapaja, Makalio na hips .... SIJAWAI !!! Ni jambo la kujivunia kwakweli, Hebu vuta picha Mama yako anatok nje vazi limemchora mpododo, steki, mapaja, hips, n.k.

View attachment 2427343

Shida inakuja siku hizi, Suruali, vimini na magauni marefu anayobana yenye mpasuko yamekuwa kama vazi rasmi,, ni kawaida sana hata mtoto kujua ukubwa wa makalio ya mama yake, hips zake, mapaja, n.k. Hii ni aibu sana.

View attachment 2427344View attachment 2427345

Biblia ilishakataza kuvaa mavazi ya wanaume hizi suruali, kila mtu kapewa free will a kutaka kufanya atakacho lakini ni muhimu kuangalia impact, Binti kavaa jeans imembana imemchora kilakitu, Haya ni majaribu ya wazi wazi kwa wanaume walioumbwa kuyatamani maungo hayo, Na ndio maana hata mwanaume akigeuka ni vile alivyoumbwa luyatamani mango hayo.

View attachment 2427346

Biblia ilishaweka wazi wanawake waae mavazi yanayositiri lakini kinachoendelea ni kinyume, sketi zinazovaliwa zinaishia magotini kuyafanya mapaja yaonekane mwanamke akikaa. Kuna sketi hizi ndefu kama za harusini lakini zimembana sana mwanamke hazina tena heshima maana zinaachia hips wazi wazi bila kusitiri.

View attachment 2427347
Waislamu mna tatizo gani lakini kujisifia kwa utakatifu wa kila kitu huku mkiwakandia Wakristo tu kama vile ninyi ni Malaika?

Kwani Buddhism, Paganism, Hinduism, Rastafarians na Atheists si Watu na wote watachomwa moto ikifika kiama sababu tu ya kutokuwa Waislamu?

Nendeni mkaishi sayari yenu basi, yani badala ya kujikita kuwa na maarifa ya ziada hata ubuni simu yako binafsi uje uombe msaada hapa Watu wakusapoti mtaji ufungue kampuni umeng'ang'ania vitu ulivyoletewa na kuwa na mahaba navyo kuliko hata aliyekuletea?

Endeleeni kujipendekeza kwa kujiita Waarabu weusi ilihali hata nukta ya kupendwa na hao unaojipendekeza kwao haipo, hakika aliyetuita NYANI WAAFRIKA hakukosea kabisa.
 
Mimi ni mkristo nilieleta maada hii kulalamikia muenendo wa hali ya kimavazi.

Kuna tatizo ??
 
Jibu eti Yesu haangalii mavazi , hili swala hata mimi kunipa wakati mgumu maana mtu unaweza kukutana na mdada mkiristo dini imemkolea ila mavazi yake sasa mtihani mtupu.
 
mkuu umeongea hivi kuhusu nguo? dah wakiristo wenzako watakuona wewe nimshamba hujui kwenda nawakati.lakini mkuu kunawale wapokanisani hamtaki waoe unataka waangalie nini? muwanyime kilakitu hata kusafisha machotu? kwawiki maramoja kuona uumbaji wamungu.
 
Back
Top Bottom