Huyo mtu kuna braza katusimulia Story yake Jana tu, kwa kweli kamsifia Sana yan na inasemakana jamaa anatembelea gari moja matata mno kwa mujib wa huyo braza, amesema amesoma nae shule moja ipo pwan uko advance pia udsm japo coz tofaut aliongeza kusema jamaa ni mchum level za akina lipumba ET, ET lkn?!!Namfahamu martin chegere tu ambae ni mwalimu wa uchumi udsm kwa sasa.
hoja yako ina mashiko ila sio kwa hiki ulichokiandika, labda kwa kujibu, naamini matajiri wangeweka mazingira mazuri ya kutokukaribisha kipindupinduKila mtu ana nafasi yake kwenye hii dunia.Tajiri ana nafasi yake na msomi mkali ana nafasi yake.Fikiria kia mtu angekuwa hakusoma lakini Tajiri.Halafu ikatokea kipindupindu kwenye hiyo dunia ya kufikirika yenye matajiri watupu ambao hawakusoma nani angewatibu? Lazima DAKTARI hapo msomi kipanga mwenye GPA kubwa aingie hapo awasaidie vinginevyo matajiri wote wasiosoma watakufa kwa kipindu pindu na utakuwa ndio mwisho wa utajiri wao!!!
Haha necta waliludisha maswali!Mmoja wao ni mimi.
Natokeo kundi la wale wasiosoma twisheni kabisa, shule nzima olevel ilikuwa na walimu 6, kwa shule ya wanafunzi 470.
Kila muhura tulikuwa tunawahi kufunga kati ya wiki tatu hadi nne kwa kuwa wazabuni wamegoma kuleta chakula.
Nikafanikiwa kupata division 1:16, nilipoenda Advance maji yakawa marefu nikapata 2:12, sababu ni kuwa sikuwa na msingi mzuri kwa kuwa olevel ilikuwa ni kusolve past paper tu. Necta waliporudia maswali nikawaumiza.
Makofi kwangu tafadhali
Ukweli aisei..!Wanafunzi wenye ufaulu mkubwa darasan hushindwa maisha
Hii ina ukweliWanafunzi wenye ufaulu mkubwa darasan hushindwa maisha
Hahahaaaa
Wapi Eliasi TO 2006 from Tosa
Pugu boy huyoHuyo mtu kuna braza katusimulia Story yake Jana tu, kwa kweli kamsifia Sana yan na inasemakana jamaa anatembelea gari moja matata mno kwa mujib wa huyo braza, amesema amesoma nae shule moja ipo pwan uko advance pia udsm japo coz tofaut aliongeza kusema jamaa ni mchum level za akina lipumba ET, ET lkn?!!
MythWanafunzi wenye ufaulu mkubwa darasan hushindwa maisha
Sio kweli mzee, Kiyombo hayupo Voda na hakumalizaga hiyo kozi pale UDSM.Jamaa ni telecom engineer wa vodacom
Wee jamaaa muongo mno wachaa kuleta story za mtaani. .Jamaa ni telecom engineer wa vodacom
Ilikuwaje tena mpaka Leo bado hamalizi Chuo tuu.Wenzie tunakula vitu vya Kihandisi na II zetu murua kabisa.Nakumbuka tulikuta ndiyo amemaliza A level na matokeo yametoka 2006/2007 hivi T.O Elias Kiombo.Yupo UDSM anapiga mining, mwaka wa 4 sasa hivi
Huyu alumaliza A level mwaka 2006 wakati mie naanza A level.Mpaka Leo anasotea kupata DigriiMwaka 2014 tulikuwa na jamaa mmoja TO 2016 tosamaganga Elias kiombo PCM alikuwa akitufundisha advanced physics ila cjui Leo hii yuko Wap