Wako wapi wanafunzi bora (Tanzania One) wa miaka ya nyuma?

Wako wapi wanafunzi bora (Tanzania One) wa miaka ya nyuma?

mm miongoni mwao yani hadi nikiwaona wenzangu nawakimbia maisha yamenipiga kusema ukweli kufaulu darasani sio kufaulu maisha washikaji wakiniona wananiita bosi ila maisha yananipiga sana
Jina lako pia linaashiria tabia yako, utajiitaje askari muoga[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Wana jamii huwa najiuliza sana toka nikiwa shule ya msingi nasikia tanzaniaa one form 4, 6 na hata vyuoni. Nikiwa udsm nilipata kujionea mtu mmoja aliyekuwa amenitangulia mwaka mmoja chuoni nikiwa nasoma degree program kama yake alikuwa udsm one . lakini toka nihitimu udsm huku mtaani siwaoni hawa vipaji wetu. nauliza huwa wanapotelea wapi?. au elimu yetu ni mbwembwe ya makaratasi tu?.

Hujawahi kumsikia Mtu anaitwa Professor Ibrahim Haruna Lipumba?

Huyu kwa wasiojua ni Udsm one kwa GPA ya 5.0
 
Huwa nashangaa mtu ana kua considered genius kisa tu alipata one.
 
Wengi wao huwa wana kuwa watumwa Wa wahindi

Tanzania one kwa kukremisha
Jamaa ilidisco UD (sina hakika ila ninauhakika hakuendelea na chuo). Sababu kubwa ni utoro kisa kupiga mapindi kitaa (huu ujasiliamali ulimlipa sana). Baadae alirudi UD kwa kozi ingine.

(if I was misinformed, one may correct)
 
Back
Top Bottom