Wako wapi wanafunzi bora (Tanzania One) wa miaka ya nyuma?

nilitegemea kuona wanafanya mambo ya kusitaabisha lakini sasa nawaona sawasawa na wenye vyeti feki tuuu.
Ni hivi, ukiwa katika mazingira mazuri yanayothamini utu wa mtu, unaweza kuzaliwa na mtindio wa ubongo ukawa kama zezeta, halafu kwa sababu mfumo mzuri, mfumo ukajua kukuweka wapi patakapokufaa ukagundua kitu cha ajabu kikaisaidia dunia nzima.

Na ukizaliwa kwenye mfumo wa watu wenye roho mbaya kama kina Magufuli huko Afrika kila kitu kukomoana, hata ukizaliwa na akili za kumshinda Albert Einstein, kama uki survive homa za Malaria zinazozuilika na utapiamlo, utakwamishwa na vitu vingi tu hapo kati. Kuanzia rushwa, kazi kwa kujuana, kukosa kuheshimiana, kukosekana mifumo ya kuendeleza vipaji, watu wenye roho mbaya wengi etc.

Ndiyo maana unasikia kila mvumbuzi wa hiki na kile anatoka nchi fulani tu. We hujajiuliza hivi kwetu hatuna watu wenye akili sana?

Of course umejiuliza ndiyo maana ukaleta thread hii nzuri sana ambayo inataka akili sana kuielewa umuhimu wake.

Wapo, ila tumewakaba wenyewe wasiendelee.

Wewe nakwambia kuna Mjapani aliipigia kelele serikali ya Zanzibar kwa sababu Serikali ya Japan ilikuwa inatoa scholarship kibao kwa Wazanzibari waende kusoma Japan wanalipiwa kila kitu karibu.

Wajapani wakawa wanashangaa, mbona hawa Wazanzibari hawaji kwenye hii scholarship?

Kumbe kunamtu aliyepewa scholarship alikuwa anawatafuta ndugu zake waende, ndugu zake wenyewe hawana uwezo wa kimasomo unaotakiwa kuchukua scholarships, kwa hiyo akaziacha zikae bure tu bila kutangazwa mpaka karibu ya deadline.

Sasa nchi kama hii roho mbaya kama hizi utategemeaje wenye akili waweze kufanya chochote cha ajabu?

Kwa habari zaidi tafuta kitabu kinaitwa "lWhy Nations Fail: The Origins of Power, Prosperity, and Poverty" cha Author: Daron Acemoğlu
 
nimekupata . asante sana ngoja nikitafute kitabu hiki
 
Mimi moja kati ninaowafahamuu ni

1.PROFESA IBRAHIM LIPUMBA ALIKUWAGA EGM ALIMALIZAGA PUGU SECONDARY 1974
RECORD YAKE HAIJAWAHI KUVUNJWA HADI LEO HII LEO HII MWANASIASA.

2.DK.SHUKURU KAWAMBWA ALISOMAGA PCM

3.MWIGULU NCHEMBA ILBORU 1990 PCM SAIVI MWANASIASA

4.TUNDU LISSU
HGL ALIKUWAGA POSITION NAMBA SABA

HAWA NI BAADHI NINAOWAFAHAMU
 
Hujawahi kumsikia Mtu anaitwa Professor Ibrahim Haruna Lipumba?

Huyu kwa wasiojua ni Udsm one kwa GPA ya 5.0
LIPUMBA PIA ALIKUWAGA TANZANIA ONE 1974 COURSE YA EGM PALE PUGU NA RECORD YAKE YA KUFAULU HAKUNA ALIYEWAHI KUIVUNJA .

JAPO KUNA MSHIKAJI ALIKUWAGA PUGU NA PIA NI TANZANIA ONE SEMA ALIBAKIZAGA MARKSI MOJA KUMFIKIA LIPUMBA
 
Swali zuri lingekuwa hivi TZ inathink tank??
maana kila siku mambo yanabadilikabadilika, tungekuwa na think tank ya kueleweka tungekuwa na vision ya muda mrefu kutufikisha kwenye malengo yetu.

Ni wakati waziri wa elimu aandae programme kabambe ya kuwafuatilia hawa watu wenye IQ kubwa. Awatrain, maintain kwenye system na kuwaajiri kwa ajili ya kusolve matatizo yetu na kuandaa programme endelevu ya taifa hili.

Na in next 10yrs tutakuwa tunamipango endelevu na watu makin ktk kutatua matatizo ya nchi hii
 
Yule TO wa kike miaka ya 2008 km sikosei yupo wapi? In serious note kila kitu ili kifanye vzuri kinahitaji motivation, mtu anafaulu anapewa gamba lake afu kila mmoja anaendelea na kazi zake yule TO anarud kwao Matombo ndani ndani huko! Unadhan huko atavumbua nn ka resource zipi? Sana sana anakuwa mfano kijijin kwamba huyo fulani usimuone hapo anabugia gongo shuleni alikuwa balaa huyo!
 
Back
Top Bottom