Wako wapi wanafunzi bora (Tanzania One) wa miaka ya nyuma?

Wako wapi wanafunzi bora (Tanzania One) wa miaka ya nyuma?

Mwaka 2014 tulikuwa na jamaa mmoja TO 2016 tosamaganga Elias kiombo PCM alikuwa akitufundisha advanced physics ila cjui Leo hii yuko Wap
 
any way nilitarajia kupata taarifaa hata ya mmoja wao aliyefanya extra ordinary in real life. tafadhari mwenye taarifa hizo atusaidie

Yako mambo mengi unayotaka kusikia na kuona ya "extra ordinary in socio-eonomic, political, technological, and environmental real life" ambayo yamefanywa na yanafanywa na hao 'Tanzania One'.

Siyo rahisi kuyaorodhesha, na hao wataalamu hawajitokezi kama wasanii. Kwa mfano, unawafahamu watunzi wa maudhui ya sinema au mziki! Sanasana wanaojulikana ni wachezaji au waimbaji

Usione vinaelea, vimeundwa.
 
Huyu mara ya mwisho alikuwa anafunfisha tuition.

Sijui kama alirud shule baada ya kudisco

Nahisi ndo TO MAARUFU kuliko wote kwa miaka hii ya karibuni.
Mwaka 2014 tulikuwa na jamaa mmoja TO 2016 tosamaganga Elias kiombo PCM alikuwa akitufundisha advanced physics ila cjui Leo hii yuko Wap
Jamaa yuko vizuri aliwahi kuja kupiga pindi kipindi Fulani huko Njombe!
Sikuwa kuona Jamaa anaweza kiasi kile!
Alirudi udsm kusoma petroleum
 
Back
Top Bottom