Wako wapi wanafunzi bora (Tanzania One) wa miaka ya nyuma?

Wako wapi wanafunzi bora (Tanzania One) wa miaka ya nyuma?

***** wewe asiyejua nani kuwa ulichagulia second selection shule ya kata! Form IV ukapata 4,ukatiwa moyo ukajikunja ukarisit ukapa credit ukaingia A level.Napo ukaambulia div three ukatupwa UDOM chuo cha kata.Alafu eti unajishaua wewe ni CEO.LABDA WA MILEMBE!
Daaah...
 
Kuna mmoja alimaliza miaka ya 90 kama sijakosea ni Christina Tungaraza alikuwa mwanafunzi bora halafu ana ushape wa hajaa. Mwaka juzi kama si mwaka jana nimemuona nje ya standard chartered bank sikujua kama ni mfanyakazi au alikuwa mteja. Pia anaonesha alikuwa hajaolewa (hakuwa na pete kidoleni) lakini pia sikuwa na uhakika wengi wao wanafeli mapenzi.
Sijui nilichoandika kimeeleweka.......
Kasie.
Hahahahahaha
 
Mjomba wangu alikua TO Pale Tanga Tech.Akaenda mlimani na akiwa mwaka wa 2 alichanganyikiwa na hadi sasa yupo home Usangi Kilimanjaro. Ni hatare kwa Mathematics jamaa
Nawapenda TO maana wengi huwa wanapata return ya bidii yao ni vema kuwapa nguvu kwenye jamii ili walio chini wajifunze kutoka kwao na sio kuwapa vipaumbele(wanaojua kusoma na kuandika)pole kwa bro hope atakaa sawa siku moja
 
Kuna Mwingine aliitwa Professor Kighoma Ally Malima akiwa Minaki Secondary 1960s Marekani walikuwa wana program ya kuchukua Vijana waliomaliza kidato cha Sita kwenda kuwaendeleza kielimu huko Marekani hivyo wali conduct mitihani ya majaribio.

Mmoja wa walimu wa kujitolea alikuwa anasomesha Minaki alimuona Kighoma kama mmoja wa Vijana wenye kipaji akamchukua aende akafanye huo Mtihani uliokuwa unafanyika Pugu Secondary. Akiwa Kidato cha Tatu alifanya Mtihan wa Majaribio na kuwa Mwanafunzi Bora.

Alichukuliwa akaenda kufanya Program ya Pre university Marekani akafaulu akaanza Degree mpaka akafikia level ya Uprofessa ndio Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ikamuomba arudi nchini mwanzoni mwa Mika ya 1980s.

Mweee mweee mweeee... Leo anashikiwa Risasi na mwenye Fa 4 na D 3
 
Wanatoboa nini??? We ni maandazi!!eeeh acha umang'aa mbuzi mawe wewe ikiwa pyschology yenyewe inatambua kuwa kuna golden boys, silver boys na wooden boys kwa hyo kuna watu obvious wana upeo mkubwa ka vle uwezo wa kujifunza na kuelewa kwa mda mfupi, uwezo wa kushika na kuelewa vitu vingi kwa mda mfupi yaani extra orninary ktk learning, sasa wewe unmbwelambwela ka ma****ya alieona mzinga wa konyagi yaani inadhihirisha jinsi gani wewe ulivyo wooden
Asee!Kumbe?"wooden boys!"...Hapa hiyo "psychology" unayozungumzia haiwajui "girls!"?..
 
bila kumsahau jf member mwenzetu anaitwa kongosho alipiga 1:7 pale azania 1998,A level akaenda iliboru akapiga 1:3 pcm nw nasikia yupo vodacom.ila azania ya kipindi kile tulikuwa moto balaa
Who is Kongosho?I used to go there during that time,kufanya mathematics kwa Mwl Lindugani.
 
Yule TO wa kike miaka ya 2008 km sikosei yupo wapi? In serious note kila kitu ili kifanye vzuri kinahitaji motivation, mtu anafaulu anapewa gamba lake afu kila mmoja anaendelea na kazi zake yule TO anarud kwao Matombo ndani ndani huko! Unadhan huko atavumbua nn ka resource zipi? Sana sana anakuwa mfano kijijin kwamba huyo fulani usimuone hapo anabugia gongo shuleni alikuwa balaa huyo!

Alienda stanford university USA. Anaitwa Elizabeth kama sikosei. Sasa hivi nahisi anafanya kazi huko huko marekani.
 
***** wewe asiyejua nani kuwa ulichagulia second selection shule ya kata! Form IV ukapata 4,ukatiwa moyo ukajikunja ukarisit ukapa credit ukaingia A level.Napo ukaambulia div three ukatupwa UDOM chuo cha kata.Alafu eti unajishaua wewe ni CEO.LABDA WA MILEMBE!
Hahaaaa!!
Msamehe basi
 
Njoo hapa Udsm tumejaa tele.

Coet, Coict.

Mwendo wa One ya 3 Pcm, PCB.
Tupo mkuu.

Unataka utambike au utufanye Wahenga?
 
Mimi moja kati ninaowafahamuu ni

1.PROFESA IBRAHIM LIPUMBA ALIKUWAGA EGM ALIMALIZAGA PUGU SECONDARY 1974
RECORD YAKE HAIJAWAHI KUVUNJWA HADI LEO HII LEO HII MWANASIASA.

2.DK.SHUKURU KAWAMBWA ALISOMAGA PCM

3.MWIGULU NCHEMBA ILBORU 1990 PCM SAIVI MWANASIASA

4.TUNDU LISSU
HGL ALIKUWAGA POSITION NAMBA SABA

HAWA NI BAADHI NINAOWAFAHAMU
Interesting, ongezea na wengine
 
Back
Top Bottom